Luushu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 812
- 468
Kuna mwana jamii alitoa masikitiko yake kuhusu shule ya Mwenge ilioko singida mjini kuwa ni choka mbaya ni kweli.Nawakumbusha wana jf mkwese nilikosoma mwishoni mwa 80 mkwese tec sec school ilikuwa moto kielimu kimichezo umiseta tulikuwa tukienda mwenge tunarudi na kombe kama si la mpira wa miguu basi la netbol palikuwa hapatoshi lakini sasa pameoza,wana jf nini tufanye hasa ukizingatia ufisadi umeota mizizi.NAOMBA MCHANGO WENU