Mkwawa High School mpo?

Jamani mnaonaje tukaanzisha klabu yetu ya wana Mkwawa,maana humu JF tuko wengi haswaaaa.
 
Unamkumbuka Teacher Mwaipaja... kila nikimkumbuka nacheka kwa vituko vyake ...pwaaaaaaaaa!

mwaipaja alikuwa anasema' unataka kuwa nani wewe? lawyer? engineer/ hapana hii si kazi yako wewe, ni kazi ya PCM student' siku hizi hata sijui yupo wapi! mimi ni 1996-1998.
 
mwaipaja alikuwa anasema' unataka kuwa nani wewe? lawyer? engineer/ hapana hii si kazi yako wewe, ni kazi ya PCM student' siku hizi hata sijui yupo wapi! mimi ni 1996-1998.

Umenikumbusha , ilitokea kaugonjwa ..ka-kipindupindu basi shule nzima ikabidi tupewe midawa ya kumeza kujikinga.. Ticha Mwaipaja akawa anasimamia na kusema haya HGL anza, Fatia PCB , CBE fuati basi mwishoni akasema PCM student nyie wa mwisho maana nimeshahakikisha hii siyo sumu maana haijawadhuru waliotangulia kuinywa! PCM student ni wa thamani sana ...hahahahaha nimekumbuka mbali sana
 
teheeeeee,ilikuwa kipindupindu iringa, so akasema HKL ndo sample, waanze kumeza! yule mzee balaa tupu,alipenda sna vijana wake wa PCM
 
mwangoka: wewe umekuja hapa kama wewe na wewe kama wewe ndio utaondoka hapa kama wewe.

2nd master kaaya: eeenh kuna typhoid kama siku yako imefika utakufa tu ndio k.............. zenu nyamazeni msikilize

ngui: mkuu mkuu (to mgohamwende) wamegoma mkuu

ngu 2: to makongoro and lumumba members: jamani leo ndio siku ya kuzibua nanihii kule nyuma ya mabweni na kuchimba mtaro kuelekea barabarani ( yaani ilikuwa hatari sana kwa afya)

Yaani pale palikuwa complex sababu chakula kilikuwa si kizuri, maji hakuna, baridi kali, masomo magumu, walimu wenyewe vituko(lenjima nk),magonjwa mara kwa mara (typhoid,kipindupindu),kila term lazima mwanafunzi mmoja afe (sijui ilikuwa mambo ya mungu au) mfano marehemu sixmund chapa mungu amuweke mahali pema.

lakini palikuwa casino sababu ikifika wk end panakuwa kama ulaya hizo jeans na mengineo matatizo unayasahau
 
Unamkumbuka Teacher Mwaipaja... kila nikimkumbuka nacheka kwa vituko vyake ...pwaaaaaaaaa!
nilimpenda saana,alirisaidia nikapata kibanda cha Pure maths. strength yake kubwa ni kujenga confidence kwa wanafunzi wake, kufundisha hawezi kumzidi Mr. Kavuraya. alivyoondoka mkwawa nilisikia yupo Mzumbe(the then IDM Mzumbe)
 
Kumbe wana mkwawa tupo wemgi sana humu ndani ya JF... Wengine hata hatukuchua vyeti vyetu, na sasa hivi ni college sijui tukivihitaji tutavipata vipi

vinapatikana ifunda mi nlienda 2005 nkakipata chakwangu wanavyo vyote vimehifadhiwa

jamani mnamkumbuka mwl galigo wale wa aggrey east? alikuwa ana manywele utafikiri msitu
na mama masawe wale wa aggrey west TYCS mapendooooooooooo
 
vipi kuhusu mwl Garigo na Mr. Tende?
Duh mambo ya bomba tatu! Life lilikuwa tamu sana na shule inapigwa.
 
Hebu Tukumbushane wimbo wa shule : Mie nakumbuka verse ya kwanza tu..

Mkwawa Shule twaipenda! Ni Shule ......
 
Mwendesha mashtaka wa polisi Inspekta Idd Kiwogoma alimwambia Hakimu Sundi Fimbo kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo baada ya kujifanya wakala wa shule hiyo ya sekondari na kuchukua mikate 130 kutoka kwa Haruna Issa.

Wazee wa complex miaka ya 1997 - 1999 bila shaka mnamkumbuka Sundi Fimbo. Lazima mtamkumbuka kwasababu alikuwa ktk kundi la mademu maarufu (pamoja na akina Irene Kiwia, Vivian Tylia, Big mama etc). Pia aliwahi kupatwa na masahibu ya ugomvi kule DH, uliopelekea magazeti ya Mji wetu, Mwanga nk kuandika habari hiyo kwa msisitizo mkubwa.

Binafsi ninamheshimu sana huyu dada. Je, ndo huyu hakimu wa ahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam?.

(Hii nukuu nimeichukua Mwananchi ya tarehe 12/16/2009).
 
Jamani miaka hiyo baada ya msosi nani kasahu pilika pilika pale kamtaa kaniitie fulani!
offcourse sitamsahu mzee Tiriya wa chemistry, Busanji fizikia lakini lile zungu GORDON na organic chemistry yake lilikuwa empty kabisa
tusimsahu sista machinga HGK 1993
 
tehe tehe, bila kumsahau mtu mfupi mgimwa, kwa makanyagio mzee chuwa na nelson,kaazi kweli kweli, na yule mama wa aggrey alikuwa mnoko akachezea kipondo mama massawe, aliacha kabisa kwenda mjini kwa miguuu. Na mwalimu masebo wa lumumba west

aha aha aha mkuu hapo umenikumbusha sana na mimi,akina mgimwa,masatu ,matemelela mbao etc,lakini mm nilikuwa miaka ya 2000,lakini hao uliowataja bado walikuwepo.lol
 
Umenikumbusha , ilitokea kaugonjwa ..ka-kipindupindu basi shule nzima ikabidi tupewe midawa ya kumeza kujikinga.. Ticha Mwaipaja akawa anasimamia na kusema haya HGL anza, Fatia PCB , CBE fuati basi mwishoni akasema PCM student nyie wa mwisho maana nimeshahakikisha hii siyo sumu maana haijawadhuru waliotangulia kuinywa! PCM student ni wa thamani sana ...hahahahaha nimekumbuka mbali sana

na wewe kimbweka ni wa mkwawa hahahaha,ama kweli kumbe tuko wengi humu
 
Then madem walikuwa wanaogea nje!! ukitoka nje asbh sana unaona video tu mi nilikuwa lazima nipigie muswaki outside ili nisafishe macho!!
aha ahahaha mkuu ni kweli kabisa,nami nilikuwa hapo miaka hiyo 2001-2003
 
Back
Top Bottom