Mkuu wa Wilaya ya Liwale afia Guest House!

Tatizo Pasco anaogopa akitaja humu, chama kitamnyang'anya tenda za matangazo ya maonyesho ya idara na taasisi za serikali.
 
uu wa wilaya ya Liwale amefariki usiku wa kuamkia leo, ktk hoteli aliyofikia
akijiandaa kuhudhuria mkutano wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele.Source radio One na ITV

Magonjwa yasiyopewa kipaumbele = NEGLECTED TROPICAL DISEASES (NTDs). I pray sio yaliyomua!

RIP DC of Liwale
 
Mkuu wa Wilaya ya Liwale ni Paul Chiwile; according to Radio One, saa 7 habari, alienda Lindi kuhudhuria semina ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele
 
Marehemu ni mzaliwa wa wilaya ya Newala, aliwahi kuwa Mkurugenzi wizara ya maendeleo ya jamii, wanawake na watoto
 
Wanabodi,

Hii nimetumiwa kwa SMS kutoa mkoa, fulani, kuwa kuna mkuu wa wilaya fulani, kafia Gest House fulani Vision iliyopo mkoa fulani. Hivi ninavyo post sasa, RC wa mkoa huo, akiandamama na RPC, RCO, OCD, na DCO NA kikundi cha askari na makachero, wameizunguka hoteli hiyo ili kuvunja mlango kuthibitisha tukio hilo!.

Jina la Mkoa, na Mkuu wa wilaya hiyo nimelihifadhi ili kusubiri uthibitisho.

Lengo la kuposti mapema ni kuhakikisha wewe kama mwana jf, "be the first to know".

Pasco.

Sasa mbona unasema jina la Mkoa na wilaya umevihifadhi wakati unataja wilaya ya Liwale? Liwale iko Mkoa wa Lindi
 
Back
Top Bottom