Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa kwenda kuwa DC?,hata ningekuwa mimi kwa huu mwendo ningetema mzigo!
Pia huenda kazi yake TIGO inahitaji zaidi ubunifu na uwajibikaji zaidi ya kujipendekeza na fitina. Kaitendea haki nafsi yake nadhani hivyo hata kama ni umasikini au utajiri vitamuacha na amani ya moyo.Ni kwa nini apoteze kazi yake Tigo tena Mkurugenzi afuate U-DC ambao hauna uhakika wa usalama wa kazi yenyewe. Mchango wake wa kuipigia debe CCM wakati wa kampeni unatosha.
Anaogopa kipele alionacho kisije geuka jipu
Ndiyo yupo chini ya DC lakini ndo mshika fedha, DC hana ubavu wa kuamua matumizi ya fedha. Jamaa likiamua itabidi DC anywee, Nina ushahidi wa haya ninayoyasema. Hivi ulishawahi kusikia ugomvi wa RC na RAS? Ndivyo ilivyo hata kwa DC na DAS. Ukisikia ugomvi kati ya hao wawili ujue ni mambo ya fwedha!DAS Yuko Chini Ya DC, Hana Ubavu Huo
Hao wengine wanafuata madaraka mkuu! Si unajua tena DC kila unakoenda lazima uwe na escort huku bendera inapepea juu ya shangingi lililoshibishwa mafuta na kodi za walalahoi! Hivyo wengi wanaridhika na hivyo tu. Kuna akinamama wengine wawili wametoka SUA sasa najiuliza ina maana walikuwa hawalipwi vizuri kweli au ni huko kufuata ujiko? Haya bwana wacha wakawe watumwa, kikinuka huko tusijuane tena!!Godwin Gondwe kaacha salary ndefu sana pale Tumaini University Dar es salaam kaenda kuwa DC.
Mshahara wa kuwindia ndege porini....niache umeneja wa tigo kanda ya ziwa ....Kazi ya kitaalam,haina kelele....nikatukanwe jukwaani eti natumbuliwa?Sababu??
Uwe unavuta subra Mkuu.Source of information
Fact Sheet! Jamaa anakula zaidi ya 10m(net) wakati DC anakula 3.5m (Net).... bajeti ya kanda yake nzima....mikopo ya bank...anakula zaidi 100m! Atalipaje? Hata mimi sikubali! Hao wengi toka Majeshi wanaendelea scale zao za utumishi serikalini! Makada wa ccm na wengine fadhila....hawana jinsi maana makada na wale fadhila utakuta walikuwa hawana kipato hicho! Lakini kama uko vizuri na issue zako! Unakataa uteuzi kama Ally MaswanyaMshahara wa Tigo mnono kuliko serikalini ukizingatia safari hii no rushwa
unaweza ukawa na hoja za msingi hapa!!Fact Sheet! Jamaa anakula zaidi ya 10m(net) wakati DC anakula 3.5m (Net).... bajeti ya kanda yake nzima....mikopo ya bank...anakula zaidi 100m! Atalipaje? Hata mimi sikubali! Hao wengi toka Majeshi wanaendelea scale zao za utumishi serikalini! Makada wa ccm na wengine fadhila....hawana jinsi maana makada na wale fadhila utakuta walikuwa hawana kipato hicho! Lakini kama uko vizuri na issue zako! Unakataa uteuzi kama Ally Maswanya