Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

Sio mkuu wa wilaya tu,hata Mtendaji wa kata ana uwezo wa kumuweka mtu ndani..
lakini si kwa mazingira kama ya hao maofisa wa ardhi..
Kwa hali hii mbona mahabusu zingejaa..
Sio nchi ya kidikteta hii

acha tu zijae wengine watawekwa hata kambi za jeshi.
 
Kasi ya Dk JPM inazidi kuambukizwa katika watumishi mbalimbali wa serikali.
Naona jamaa anatetea nafasi yake ya kazi ,maana bila kuendana na kasi ya Magufuli katika kutatua kero za wananchi, jamaa atalala nae mbele...
 
hakuna kufungu kinachomruhusu dc kumweka mtu ndani kwa kosa la kuchelewa kazini labda kama angewafukuza kazi lakini sio kuwaweka rumande huo ni unyanyasaji

kwa taarifa yako hata mtendaji wa mtaa anayo mamlaka ya kukuweka kizuizini masaa 48 na kukuachia bila maelezo.
 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Paul Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa Aridhi na Mipango Miji kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5.

Sasa kaweka mahabusu katika Kituo cha Polisi Wazo Polisi na kuairisha shughuli hiyo hadi kesho

This is fucken crazy
 
Mwenye ujuzi atujulishe la ziada kuhusu hili jambo, nadhani kuna sababu maalum iliyomfanya kuchukua hatua hii ya kuwawek ndani. Lasivyo kila mtu ata toa maoni yasio elewek na watu wengine kutukana. Mwenye habari zaidi utupashe
 
hao hawajui sheria, barabara zetu zote zimekaa hovyo inategemea mwanzoni alikuwa na shughuli gani, kamawalikuwa na uharaka wa hivyo wapewe kingora cha polisi hapo sawa.
 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Paul Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa Aridhi na Mipango Miji kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5.

Sasa kaweka mahabusu katika Kituo cha Polisi Wazo Polisi na kuairisha shughuli hiyo hadi kesho

hivi kumbe saa 5 sio asubuhi!!?
 
wewe ndo hauna hoja, wenzio wako mwanza kumfufua mawazo, hata mbowe hakujui hata likitokea shavu bora akachukue watu ccm kuliko nyie manyumbu.

Hapo kwenye red ndipo ulipoonesha ujinga wako, mkuu Peter E. Mselewa huna haja ya kuendelea kubishana na huyu kiume
 
Last edited by a moderator:
kwa taarifa yako hata mtendaji wa mtaa anayo mamlaka ya kukuweka kizuizini masaa 48 na kukuachia bila maelezo.

hiyo mamlaka kaitoa wapi kwa kifungu kipi cha sheria? au unafikiri tanzania inaongozwa kwa utashi wa mtu?
 
na bado,hiyo ni trail,si mlisema wenyewe jk dhaifu.?,mtulie minyoosho na iendelee

Sasa huo ni utawala bora? Labda mjisifie kutumia madaraka mpendavyo lakini sio weledi. Nani anashindwa kumuweka mtu ndani kwa kuwaagiza polisi, hata kiwete akiwa na madaraka anaweza kuagiza polisi ili kuwajengea nidhamu ya woga, na vile watu hawajui sheria basi mtawaweka wengi sana ndani ili kauli ya hapa kazi tu itimie. Na kama hiyo ndio dalili ya hapa kazi tu basi kazi tunayo.
 
Tukiendelea kuwasikiliza nyinyi wasomi au wana sheria wa nchi hii, basi mtazidi kututia umaskini tu,
Sasa bora tutumie style za enzi za nyerere tu labda watajua wajibu wao

Usichukulie mambo kijuu juu namna hiyo. Ingekuwa nchi haiongozwi kwa katiba, sheria na kanuni ingekuwa sawa.
 
Back
Top Bottom