Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,130
- 2,762
Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.
Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.
Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu
Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".
Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?
Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.
Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"