Mkuu wa Mkoa wa Mara atembelea Mradi wa Kituo cha Polisi Butiama unaojengwa kwa Tsh. Milioni 802

Nahisi kwenye huo mchanganuo wamesahahu pesa za wakuu wa vituo...wakipita hapo siamini kama hawatoki na chochote.
 
Hivi kwanini hizi taasisi za serikali kama shule, zahanati, vituo vya polisi;havijengwi kwa ramani moja kama zamani?
Kwasababu zamani ukiona tu majengo unajua hii ni shule. Lakini leo hii wengine wanajenga kama vile ni nyumba za wageni au hotel! Sijapenda!
Wanaegesha wakijua kuna siku watashauri iuzwe na wao watanunua.
 
Back
Top Bottom