Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameendelea kukutana na misuko suko jijini humo, baada ya leo kumwagiwa maji akiwa maeneo ya standa ya mji huwo, alijikuta akizomewa na kuaambiwa hapa ni Arusha.
Kilewo unaweza kueleza alikwenda kufanya nini stand hadi alipokutana na dhahma hiyo?