Mkuu wa mkoa wa Arusha amwagiwa maji stand ya mabasi ya Arusha mjini

Status
Not open for further replies.
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameendelea kukutana na misuko suko jijini humo, baada ya leo kumwagiwa maji akiwa maeneo ya standa ya mji huwo, alijikuta akizomewa na kuaambiwa hapa ni Arusha.
Atatuma polisi hapo waambie wakae macho,na hizo biashara zao hapo watanyanyaswa sana,wajiandae.
 
Ni maji ya upupu au machicha? Na akome tabia yake ya kwenda kununua vicha mwenyewe wakati ana wasaidizi
 
mkuu wa mkoa ameacha kufanya kazi za utekelezaji za kiserikali amejiingiza kwenye siasa
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameendelea kukutana na misuko suko jijini humo, baada ya leo kumwagiwa maji akiwa maeneo ya standa ya mji huwo, alijikuta akizomewa na kuaambiwa hapa ni Arusha.

safi sana! Vp maji aina gani, maji safi au maji taka?
 
watanzania kwa kushabikia uozo hawajambo! Wala hili si la kushabikia, cha muhimu ni kujua mapungufu yao na kuishi nae kwa kumshauri. Sasa mkisema arusha haijui mna maana gani? Mnataka viongozi wote watoke arusha? This is not even a moral issue!
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameendelea kukutana na misuko suko jijini humo, baada ya leo kumwagiwa maji akiwa maeneo ya standa ya mji huwo, alijikuta akizomewa na kuaambiwa hapa ni Arusha.

Huu ni uwongo wa kupindukia. Halijatokea tukio kama hili Arusha. Jamani leteni habari za kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom