Mkuu wa mkoa Arusha aagiza wachaga waondolewe

Status
Not open for further replies.

frank m

Member
Feb 8, 2012
54
49
Akiwa kwenye kikao na ma technical assistants mkuu wa mkoa wa Arusha amemuagiza RAS awatawanye wachaga toka ofisi ya mkuu wa mkoa arusha. Anadai mkuu wa mkoa aliyeondoka ndugu Isdore Shirima alijizungushia wachaga!

Ukweli ni kwamba wengi wa hao anaodai Shirima alijizungushia Shirima aliwakuta na si sahihi kufanya maamuzi kwa kuangalia kabila la mtu.

Mkuu wa mkoa una mengi ya kujifunza na asipokuwa makini Arusha itamshinda
 
wachaga kawaida yao. yao fuatilia sehemu zote hivyo hivyo ntakupa mfano wa brand managers
 
aliyepost naye mchaga na inawezekana yumo katika hilo panga, vipi uliwekwa hapo na Shirima nini?
 
Aghrrr
huyu mkuu wa mkoa
ni wawapi
tuangalie
na yeye atafanyaje!
Asjitie
kipayuka kumbe naye ni
walewale!
 
aliyepost naye mchaga na inawezekana yumo katika hilo panga, vipi uliwekwa hapo na Shirima nini?

Kwanza mimi c mchaga hivyo simo kwenye hilo panga wala c fanyi kazi ofisi hiyo. Pili hata ningekuwa mchaga kuondolewa sababu tu ni chaga isingekuwa sawa
 
Huyu mkuu wa mko anatujua vizuri eroo? Atarudi alikotoka mara moja, au hakumbuki siku ile tumemzomea pale soko kuu au? aache ujinga
 
Mimi si mchaga lakini, hiyo habari kama ni ya kweli ni hatari, ni mbegu ya kubaguana kikabila itaanza kupandwa rasmi na huyo mkuu wa mkoa, athari zake tutaziona mapema sana.
Hata kama ni kweli waliozunguka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha ni wachaga, swali ni je walipata nafasi hiyo kwaajili ya uchaga wao? Kama walikuwa na sifa ya kufanya kazi hapo kuna tatizo gani?
Pia je, ni kweli huyo Isdori Shirima aliwaajiri hao wote? Kwa sababu ya kabila lao? Je, kuna makabila mengine yalilalamika kuwa walikosa nafasi ya kufanya kazi hapo kwa sababu ya makabila yao?
Huyo mkuu wa mkoa inawezekana ni mkabila sana, inafaa achunguzwe, huenda anataka kuwapenyeza kabila lake, kwa sifa tu ya kuwa kabila lake, hata kama hawana uwezo.
Kama yote hayo yanayosemwa ni kweli, basi kwa maoni yangu huyo mkuu wa mkoa hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi.....
 
Hakuna cha ubaguzi hapo wala nini sema kawaminyia madili yenu ya wizi. Nani asiyewajua.
 
Nasikia Kikwete naye ni. Mchagga
Akiwa kwenye kikao na ma technical assistants mkuu wa mkoa wa Arusha amemuagiza RAS awatawanye wachaga toka ofisi ya mkuu wa mkoa arusha. Anadai mkuu wa mkoa aliyeondoka ndugu Isdore Shirima alijizungushia wachaga!

Ukweli ni kwamba wengi wa hao anaodai Shirima alijizungushia Shirima aliwakuta na si sahihi kufanya maamuzi kwa kuangalia kabila la mtu.

Mkuu wa mkoa una mengi ya kujifunza na asipokuwa makini Arusha itamshinda
 
Akiwa kwenye kikao na ma technical assistants mkuu wa mkoa wa Arusha amemuagiza RAS awatawanye wachaga toka ofisi ya mkuu wa mkoa arusha. Anadai mkuu wa mkoa aliyeondoka ndugu Isdore Shirima alijizungushia wachaga!

Ukweli ni kwamba wengi wa hao anaodai Shirima alijizungushia Shirima aliwakuta na si sahihi kufanya maamuzi kwa kuangalia kabila la mtu.

Mkuu wa mkoa una mengi ya kujifunza na asipokuwa makini Arusha itamshinda

ooh mkoa umeshamshinda.lazima aondoke
 
Huyu mkuu wa mkoa atakuwa amejiingiza katika mtego mbaya mno ambao unaweza kum- cost sana. Waarusha na wachagga wamekuwa wakiishi kama ndugu muda mrefu na wako related saana . Asifikiri akiwatoa wachagga basi waarusha na wamasai watamfagilia ila atakuwa ametangaza vita ambayo mashambulizi yake yatatoka kila upande. Kama ndicho alichotumwa kukifanya ajue walioko ktk ofisi ya mkuu wa mkoa ni wachache ila tunaomfanya anunue na kula karibu kila kona ni hao hao wachagga. wako TRA, Polisi, Misikitini na makanisani, madukani , kwenye vitongoji na kila mahala. Huyu ni Hitler anayechipua na inabidi awahiwe haraka kabla hasira za watu hazijamwuwakia na madhara yakawa makubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom