Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange ni mzima, puuzeni uzushi uliosambazwa

Status
Not open for further replies.
Hizo tuhuma ni nzito na wachangiaji naona mnachangia bila kufikilia ndio maana mnatukana na kutuhumu
Serikali ina sheria kama lowassa ndio muhusika afikishwe mahakamani
Kama hafikishwi mahakamani na nyie mnatukana c mnafanya kazi bure maana serikali yenyewe ndio yenye maamuzi
 
wewe hujui kuwa lowasa ndiye aliyemuua Dr mvungi,usione watu tuko kimya tumemnyamazia tu mkuu?
Kweli mti wenye matunda ndio upigwao mawe.
hata hili la Mvungi?
Lowasa alinufaika kivipi na kifo cha Mvungi wakati
alikuwa nje ya system? Au ndo maana mnamewekea kauzibe
asiingie ikulu mnajua anajuamaovu yenu mengi.
 
Msiwe wepesi kusema jamani.

Baada ya ccm kusema waalimu hawaaminiki na hivyo wasihusike kusimamia uchaguzi ccm walipendekeza zoezi hili la usimamizi lifanywe na vijana wa JKT lakini Cdf mwamunyange alikataa na kusema swala la kiraia jeshi haliwezi kuhusika.

Baada ya hapo serikali imeamuru wakurugenzi na Nec kutangaza kwa kila mtu aweze kuomba nafasi hiyo kwa kuandika barua na kuambatanisha CV.na imefanyika hivyo lakini lengo ni serikali kutumia askari na ndo maana ktk kundi la waalimu chunguza wamechukuliwa wachache na wako kwenye semina za wasimamizi wakuu tayari wana wiki ya pili na ukiangalia miongoni mwao ni askali polic,jkT;magereza na Jw.....z.

So msiichukulie simple hiyo taarifa.

hii kitu nimeiskia sehemu nyeti san
 
Kuna ukweli kwenye maandishi yako
 
Tatizo la serikali yetu ina toa majibu mepesi mepesi na kuacha the actual context ya mada husika. Context ni kuwa Mwamunyange kukataa jeshi kuhusika na uchaguzi na sio vinginevyo. Na hapo mwanzo serikali iliweka wazi kuwa jeshi ndilo litasimamia achaguzi. Je bado jeshi la wananchi ndilo litasimamia uchaguzi!?
 
Na Bado mtasikia Mengi sana msichoki

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ukawa mna matatizo ya akili mnalalama kwamba tume imejaa maofisa wa jwtz sasa hivi mnasena mwamunyange kakataa jeshi kutumika kisiasa hivi mna ubongo kweli ninyi?
 
Wiki takriban tatu zilizopita nilipenyezewa ujumbe muhimu kuwa mkuu as majeshi General Davis Mwamunyange alitakiwa kustaafu wadhifa wake huo ndani ya jeshi.

Baada ya siku kadhaa nilipenyezewa uvumi mwingine kuwa Mwamunyange amekuwa 'mkimya' ghafla.

Habari zaidi zinasema kuwa General Davis Mwamunyange hayupo nchini kwa sasa!

Jana gazeti la serikali la HABARI LEO liliripoti kuwa General Davis Mwamunyange amesema kuwa wanaomzushia waombewe kwa Mungu. Ni upi hasa ukweli juu ya hilo? Maana lisemwalo linaweza kuwepo!

N. B Nimeona siyo busara sana kufunguka mengi niliyoyasikia kutokana na hili kwasababu
ya kukosa uthibitisho wa dhahiri hasa kutokana na unyeti wa chombo hicho muhimu nchini!
 
Nenda pale makao makuu ya JWTZ ukaulize.Ni wakarimu watakukaribisha vizuri na kukupa hadi chai na watakujibu vizuri tu
 
hilo co jibu kaka maana cku zote anayeuliza anataka kujua hivyo kama hufaham ni bora ukamwambia hufaham tu kuliko jibu ulilomjibu maana kauliza kwa faida ya wote tusiojua! sasa chukulia ungejibiwa ww hivyo kwamba uende ukamuulizie makao makuu ya jeshi ungejiskiaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom