Jenerali Jacob Mkunda: Hali ya usalama ni shwari licha ya uwepo wa matishio ya kigaidi na itikadi kali

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
Hali ya ulinzi na usalama ndani ya nchi ni shwari licha ya uwepo wa matishio ya kiusalama hasa la tishio la kigaidi na itikadi kali, wanamtandao wa kigaidi wamekuwa wakiwasafirisha vijana wetu wenye umri wa kati ya miaka 15 na 35 kwenda kujiunga na vikundi vya kigaidi hususani katika nchi za DRC, Msumbiji na Somalia hali inayoonesha ukuaji wa tatizo hilo hapa nchini," amesema Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda
 
Walifanyie kazi....
Na waanzie Misikitini hasa ule uliopo ilala nyuma ya junction ya machinga complex...

Then wamuulize Jakaya na yule mama wa kiisrael waliwafanyaje wale vijana waliokua training Drc wakatawanyika wote..

Siongei mengi...
 
Hali ya ulinzi na usalama ndani ya nchi ni shwari licha ya uwepo wa matishio ya kiusalama hasa la tishio la kigaidi na itikadi kali, wanamtandao wa kigaidi wamekuwa wakiwasafirisha vijana wetu wenye umri wa kati ya miaka 15 na 35 kwenda kujiunga na vikundi vya kigaidi hususani katika nchi za DRC, Msumbiji na Somalia hali inayoonesha ukuaji wa tatizo hilo hapa nchini," amesema Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda
CHADEMA nao ni magaidi.
 
Mmekamata wangapi? Jwtz sasa hv ni kama ofc ya kata tu, magaidi wa msumbiji, wametushinda, tukakimbia, Rwanda ikaenda, ipo mpaka Leo huko, inalinda Amani! On our own backyard, tularuhusu Rwanda ipeleke jeshi lake!
Kesho, tukianza kuona wanyarwanda wengi, Mtwara na Lindi, tutaanza wahamiaji haramu hawa!
 
Back
Top Bottom