Taarifa za uhakika na za kuaminika nilizopata hivi punde zinasema kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Davis Mwamunyange anawasili nchini leo kwa ndege ya Shirika la Ndege la Emirates. Mwamunyange alikuwa katika ziara ya kikazi katika nchi za Italia, Ujerumani, Uingereza na Uholanzi. Mwamunyange anawasili kwa ndege hiyo ambayo inakuja moja kwa moja kutoka Dubai ambapo anatarajiwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Malimu Julius Nyerere mnamo saa tisa Alasiri
Taarifa hii inahitimisha mjadala uliosambaa kwa zaidi ya wiki mbili sasa juu ya wapi alipo Mkuu wa Majeshi baada ya ukimya wa muda mrefu. Kutokana na ukimya huo, baadhi ya watu wasiolitakia mema taifa hili ambao kwa sasa jina linalowafaa ni wapumbavu na malofa walieneza uvumi kuwa Mkuu huyo wa Majeshi amefariki dunia baada ya kulishwa sumu kwa kile walichozusha eti alikataa mapendekezo ya Rais Kikwete ya jeshi kuchukua nchi endapo upinzani watashinda uchaguzi. Tena wapumbavu hao walienda mbali na kusema eti kifo cha Mwamunyange kitatangazwa baada ya uchaguzi kufanyika.
Msemaji wa jeshi la Wananchi amekanusha taarifa hiyo na jitihada zimefanyika ambapo aliyezusha uvumi huo amekamatwa na kufunguliwa mashtaka. Aidha, kaka wa Mwamunyange, Aidan na dada yake Roda nao wamekanusha uvumi huo na kwamba wamekuwa wakiwasiliana na ndugu yao kila siku na kwamba alikuwa anaendelea vema na majukumu yake.
Njia ya muongo ni fupi na ukweli una tabia ya kujitetea wenyewe. Wameumbuka
The Chief of Defense Forces is not the chief of the Tanzanian police force [IGP].
Role-wise, those two forces are very different from each other.
One is for the defense of the nation and the other one is for the enforcement of laws, investigating crimes, and making arrests.
Now, who is behaving like a tween?
Nakwambia ni shida. Time will tell!Watu walivyoikomalia hii issue utadhani kutokuwepo kwa huyu mheshimiwa kunawafanya wakose haja kubwa.
wakati haya mambo yote yakiendelea, hapo kuna watu wanapga dili hatari, ndo utakuta tembo wanafwekwa wakati huu, madini yanatoroshwa, madawa ya kulevya nk!
Fair enough ,you made your self clear and so did i...and for the record I never said the CDF is the IGP ..you said the CDF is not concerned with our security
and that's the base of my arguments with you
Tusichoshane Bana ,Amini unacho amini
Why would the CDF not be concerned with our security when he/she is also a citizen? He/she will be incredibly stupid not to be concerned about the security of where he/she lives in.
All I was saying was that the Tanzanian military's objective is not to catch criminals who threaten the peace, property, and the livelihood of citizens.
I never once said that those two forces can't share any useful data if they have any. Not doing that would be dumb.
Even ordinary citizens are encouraged to get involved and share any information that they have that could be useful.
But still, the military and the police are two different forces with very different objectives.
Is it that hard for you to draw that distinction?
Hahaaa say what..?
Hili wala si suala la imani. Ni suala la uhalisia tu.
Mkuu any update? Au ndio tuamini ulikurupuka?Anatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa 9 alasiri leo Alhamis. Ndege ni Emirates.
Update
====
unamsema Shimbo au? Hivi kapotelea wapi?
Hawa huwa hawastaafu mkuu. Ndo maana wakati wa Nyerere walikuwa wanatupwa huko nje kwenye ubalozi. Wengine hubakia kuwa washauri wa Serikali kuhusu masuala ya usalama wa taifa etc.Naona majenerali wamechimba biti wameamua kumrejesha. Mtu kabakisha miezi miwili astaafu mnampatia kozi ya kitu gani?
Nipe rejea ya kisheria inayotaja kuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi ni mkuu pia wa majeshi ya polisi na magereza.
Kumwita tu mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama haimaanishi kwamba wakuu wa polisi na magereza pia wanaripoti kwake.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa mnamwita hivyo kimakosa.
The Chief of Defense Forces is not the chief of the Tanzanian police force [IGP].
Role-wise, those two forces are very different from each other.
One is for the defense of the nation and the other one is for the enforcement of laws, investigating crimes, and making arrests.
Now, who is behaving like a tween?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi ndiyo Mwenyekiti wa baraza la wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na katibu wake ni mnadhimu mkuu wa majeshi ya ulinzi!
IGP, Mkuu wa usalama wa Taifa, Mkuu wa magereza na wengine wote ni wajumbe!