Mkutano wa NCCR MAGEUZI ya Joseph Selasini Wapigwa marufuku

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,755
218,370
Taarifa ya vyombo vya usalama inasema kwamba , Mkutano batili wa NCCR MAGEUZI ulioandaliwa na Joseph Selasini katika Hotel ya St Gasper Mkoani Dodoma umepigwa Marufuku .

Hazikutolewa Taarifa zaidi , Bali kinachofahamika ni kwamba Mahakama ilishamzuia Ndugu Joseph Selasini kujihusisha na Mambo ya Chama hicho .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom