Joseph Selasini: Watu hawaangalii hoja bali dini ya anayekosoa na anayekosolewa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
Joseph Selasini wa NCCR-Mageuzi amesema kuna tabia imezuka ambayo yanaweza kuhatarisha tunu tulizonazo ikiwemo amani.

Amesema kwa sasa mtu akikosoa badala ya kuangalia hoja watu wanaangalia dini ya anayekosoa na dini ya anayekosolewa na kuleta hoja ya udini, suala ambalo si jema kwa ustawi wa taifa.

Selasini amesema hayo katika mkutano wa wadau wa demokrasia nchini unaofanyika Diamond Jubelee Hall, na umeratibiwa na TCD.
 
Back
Top Bottom