Mkutano wa Marais wastaafu barani Afrika - South Afrika

Huyu Mkapa juzi ameingia Mahakamani Tanzania akiwa mkakamavu vila fimbo, inamaana alikatazwa na mahakama siingie na fimbo asije akampiga hakimu? Huko Afrika kusini anaonekana mchofu kulika alivyoonekana majuzi mahakamani.
Anabadilikabadilika kulingana na mazingira.
 
Back
Top Bottom