Mkutano wa CHADEMA MPANDA...MH MBOWE kuhutubia mkutano mkubwa leo!!!!

Nswima John Edward

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
612
312
Wakuu, habari ambazo zimetangazwa jana usiku, ni kuwa leo majira ya kuanzia saa tisa alasiri, kutakuwa na mkutano mkubwa wa CHADEMA hapa Mpanda, najitahidi kufika eneo la tukio ili niweze kuwapa up dates za kutosha kwa kadri nitakavyo weza, bila kusahau picha za matukio yote ya muhimu!!!1

Nswima John Edward
Mpanda - Katavi.

Up dates....
Kuna tetesi kuwa mkutano unaweza kuahirishwa hadi kesho kwani makamanda bado wana vikao vya ndani hadi sasa! All in all nitawajuza kwa ambacho kitakuwa kinaendelea!!


Up dates....
Watu wanazidi kuongezeka katika viwanja hivi pamoja na kuwa kuna tetesi za kuahirishwa mkutano....nitawainform all that will happen!!

Up dates....
Nipo viwanja vya Kashaulili hapa katikati ya mji wa Mpanda, watu wanazidi kuongezeka japokuwa kuna tetesi kuwa kuna uwezekano wa mkutano wa hadhara kuahirishwa kutokana na vikao vya ndani vya chama kuwa virefu, kama mtakumbuka, kulikuwa na mgogoro ambao ulikuwa unafukuta hasa ule uliopelekea Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ambaye pia ni Mbunge wa Mpanda Mjini kutupa KADI YA CHADEMA wakati wa vikao vya kukabidhiana mikoa ya Katavi na Rukwa kichama. Nahisi hilo linaweza kuwa mjadala mkubwa katika vikao vya chama, lakini bado nipo viwanjani hapa na muda si mrefu nitasafiri kidogo kwenda ukumbi wa St. Mary's secondary ambako vikao hivyo vinafanyika ili kubaini ukweli wa mambo haya. Worry out, you will get inform whatever happen!

IMG_0003.JPG


Up dates......
sehemu ya umati wa watu ambao wanasubiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Kashaulili, Mpanda!

Waungwana mwenye uwezo wa kuzikuza hizi picha anisaidie, mods pls help this!!!
IMG_0004.JPG


Up Dates.....
Jamani bado hali ni tete! Kikao cha ndani ya chama hakijamalizika, na bado nipo nje ya ukumbi wa kanisa katoliki nasubiri kuingia ndani mara baada ya kikao cha viongozi wa juu kumalizika ili tupate maamuzi ya chama. Mkumbuke kulikuwa na mgogoro uliokuwa unafukuta muda mrefu kidogo, nafikiri leo mwenyekiti wa chama TAIFA, atapata suluhu ya mgogoro huu!



Gari la mwenyekiti wa CHADEMA, TAIFA.
IMG_0008.JPG
 
Wakuu, habari ambazo zimetangazwa jana usiku, ni kuwa leo majira ya kuanzia saa tisa alasiri, kutakuwa na mkutano mkubwa wa CHADEMA hapa Mpanda, najitahidi kufika eneo la tukio ili niweze kuwapa up dates za kutosha kwa kadri nitakavyo weza, bila kusahau picha za matukio
yote ya muhimu!!!1

Nswima John Edward
Mpada - Katavi.



Nswima John Edward- Umetekwa na Msangi, au na Mkenya wa KOVA?? UPDATES TAFADHALI
 
Nswima John Edward- Umetekwa na Msangi, au na Mkenya wa KOVA?? UPDATES TAFADHALI

Nipo kamanda, nilikuwa nafanya mambo mengine kidogo, kwa sasa nipo hewani kuwapa kila ambacho kitajiri hapa viwanja vya Kashaulili mjini Mpanda!
 
asante sana kamanda NSWIMA, najua uko strong kulipoti matukio kama kamanda yerico nyerere (mzee wa kulipoti toka frontline uso kwa uso na jaji mahakamani)
 
Tupo kwenye kikao cha ndani tunawekana sawa pia kuna mvua sana.Mvua hii inanikumbusha mwaka juzi nikiwa ar wakati lema alipowekwa ndani alaf akakataa dhamana then alikuja mbowe na dr slaa kumuwekea dhamana mahakama ikakataa.siku ile mvua kubwa sana ilinyesha katika kiwanja cha nmc.Ccm walishusha mvua kama wanavyoshusha leo hapa mpanda.Nilipita mitaa ya ofisi ya ccm hapa mpanda mjini nikakuta vikongwe vinajadili masuala ya m4c na cdm najua watakuwa wameshusha mvua 2.
 
Tupo kwenye kikao cha ndani tunawekana sawa pia kuna mvua sana.Mvua hii inanikumbusha mwaka juzi nikiwa ar wakati lema alipowekwa ndani alaf akakataa dhamana then alikuja mbowe na dr slaa kumuwekea dhamana mahakama ikakataa.siku ile mvua kubwa sana ilinyesha katika kiwanja cha nmc.Ccm walishusha mvua kama wanavyoshusha leo hapa mpanda.Nilipita mitaa ya ofisi ya ccm hapa mpanda mjini nikakuta vikongwe vinajadili masuala ya m4c na cdm najua watakuwa wameshusha mvua 2.

Bro mimi niko hapa nje kanisa katoliki, vipi huko ndani, kuna uwezekano wa kikao hicho kumalizika kwa amani kweli? na Itakuwa ni saa ngapi? Maana tumewekwa hapa tunasubiri! Nijuze tafadhali!
 
Back
Top Bottom