Mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi za SADC - Dar Es Salaam Tanzania

Kabla ya kuwalaumu wanamuziki tujiulize wamefikaje hapo?

Kulikuwa na vigezo gani kuwachukua hao wasani?

Kama swala ni uafrica kuna wasanii mahususi kwa maswala kama haya, Sasa tujiuluze Why hawakuandaliwa?
Ninadhani kabla ya yote hawa wasanii walipitishwa na waandaaji..
Whoever did that is bad.yaani utakuwa ufisadi
 
Nitaipataje speech aliyoitoa Executive Secretary wa SADC?
Tulia Hapa Hapa Utaipata


Usisahau Pia
Hotuba Nzuri Sana Ya Mheshimiwa Mpya Wa SADC
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ambaye Anataka Kuibadili SADC Iache Urasimu Usio Na Sababu Hasa Kwenye Upande Wa Kukimbilia Ulaya, Asia Kununua Vitu Vinavyopatilana Kwenye Nchi Wanachama Wa SADC


Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Vema
 
Nmependa utoaji tuzo za insha, wimbo wa SADC pia jamaa ameimba vizuri.
Ila mwaisho kabisa nmependa hotuba ya Mh. Rais. JP Magufuli, mzee kaongea vizuri sana.
 
Back
Top Bottom