Mkutano na Makamo wa Rais wa Zanzibar Uk

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1][/h]Written by Stonetown (Kiongozi) // 11/09/2012 // Habari, Matangazo // 3 Comments

HSS_3612-564x272.jpg

MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR KUKUTANA NA WANANCHI WAISHIO UK
Jumuiya ya ZAWAUK kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania UK, Tunapenda kuwaalika watu wote waishio UK kwenye mkutano wa hadhara siku ya Ijumaa tarehe 14 Sept 2012 kunzia saa kumi na mbili Alasiri. Mgeni rasmi kwenye mkutano huo ni Makamo wa Rais wa Zanzibar , Maalim Seif Shariff Hamad.
Wakati kila jitihada inafanyika kukamilisha mkutano huu sehemu itakayofanyika mkutano huu mtajuulishwa Jioni ya leo Inshaallah.
Hassan
Mwenyekiti


[h=4][/h]
 
Back
Top Bottom