Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani
Lusinde duuh! darasa la saba, yaani CCM au Dr Magu kakosa msomi ndio aweke a primary school leaver!!! you the commentator, are just joking. Bulembo na Mangula wote safiUkiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka.
Nimecheka sana !Haya majina ndio ya kuleta mabadiliko!!!
Itakuwa "bunge live"Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani
Kibajaj ana kipaji cha kuongea ila Mara nyingi reasoning yake huwa ndogo.Hafikirii logically.Bulembo ndo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na ndiye aliyefanikisha mikakati ya ushindi wa CCM. Ndiye alikuwa msemaji wa Mgombea wetu wakati wa kampeni. Kibajaji ni Mbunge wa Mtera. Mnafahamu pia muziki wake anaowahenyesha pale Bungeni
Ni Magu mkuu huku huwa hatuchagui tunateua tuMwenyekiti atakuwa nani?
Apite Lusinde katika U-Naipe!Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka.
Kama unamtaka nendanaye kwako ukamtengezee gahawaHivi Bashe si uje CHADEMA tu jamani?
Huko hakukufai kaka.
Kapandishwa cheo, maana umakamu mwenyekiti ni busara za mwenyekiti na sio compulsory.... Hila KM wa chama si ndio engine ya chama.Mhe. Mangula kutoka Umakamu Mwenyekiti kuwa Katibu Mkuu ni kama kushushwa chini au mimi ndo sifahamu itifaki.
Safi sana CCM haifanyi mambo yake gizani. Mfanye vivyo hivyo kwa bunge liwe live; lisiendeshwe gizani.Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani
Vipi kuhusu Lusinde unaonaje kwenye nafasi ya uenezi?Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani
Bulembo ndo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na ndiye aliyefanikisha mikakati ya ushindi wa CCM. Ndiye alikuwa msemaji wa Mgombea wetu wakati wa kampeni. Kibajaji ni Mbunge wa Mtera. Mnafahamu pia muziki wake anaowahenyesha pale Bungen