Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

Muda ni tiba tosha. Clouds Media nilikuwa nawachukulia kama wambea..
Muda ukapita na wao wakadhihirisha kuwa ni SHILAWADU kweli..! Whatever the meaning of that word!




Ni muda muafaka sasa kuikaribia TV yako au redio yako tumsikilize bosi wa Clouds Media akielezea yaliyojiri siku ya Ijumaa ambapo inadaiwa kituo chao kilivamiwa.

Ataanza kuzungumza saa mbili asubuhi hii.
 
Shikamoo bwamdogo Ruge (Namna ya mila ya Kiswahili kumheshimu mtu mwenye uwezo tofauti)! Uliouonyesha ni Uongozi (Leadership)! Umeongea in a very sensitive manner, honesty, umeitumia nafasi kurepair team spirit, na umeadress vyema hoja za wateja wako na conserns za partners wako katika biashara, naa umeweze kuwa pre-empty wapinzani wako.

Nimependa pia namna ambavyo umetumia vyema tukio la kosa la kiufundi (la kimaadili) la Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa, kuudhihirishia Umma uwezo, maadili, nia, malengo, madhumuni na moto ya Clouds Media. Vyombo vya habari vijifunze!
 
asipotumbuliwa, nitashangaa sana na hiyo itakuwa ni mzani kumpima viongozi wetu kama wana double standard au la.
Akimuacha nitalishangaa bunge kama litashindwa kupiga kura ya kutokua na imani na rais na hatimae kumuondoa yeye na bashite wake
 
Habari wanajamii, kufuatana na ufafanuzi uliotolewa na Mkurugenzi wa Vipindi Clouds Bw. Ruge kuna hatari ya Mhe. Makonda kukamatwa na polisi na kufunguliwa mashitaka ya Unyang'anyi wa kutumia silaha kutokana na kupora flash ambayo inadaiwa ilikuwa na video inayoonyesha mama anayedaiwa kuzaa na Askofu Gwajima. Kama Makonda akipatikana na hatia kwa kosa hili ataadhibiwa kwa kifungo cha miaka thelathini jela bila ya kulipa faini. Makonda apewe haki yake kama ni kufungwa jela au kusafishwa.
Na hiyo kesi hainaga dhamana.
 
Japo sipendi siasa za Makonda,ila itaniuma kumpoteza huyu kijana!
Magufuli aangalie namna ya hata ya kumu exile for a time!
Ana potential ya hata kufika mbali!
Napenda atumbuliwe!
Ila wana vitengo waangalie jinsi ya kulicontain hili!
 
Mkuu nimependa ujasiri wako yaani unapambana hadi tone la mwisho

Ha ha haaaaaaa

Kama kawa

Ona hawa wanaonisakama humu na yangu ya kweli. Hapo labda 10% ni likes hizi ndani ya masaaa 20 utafikiri mimi sina la kufanya wana kuni quote huku hadi nacheka nimeona alerts badonzinaingia aaaaaaaagh

Sina muda wa kujibu so nataka wajue nikikutana nazonitajibu la sivyo siwezi kuanzia za jama mchana kusoma


Makonda oyeeeeeee

Screenshot_20170320-064942.jpg


Cocochanel oyeeeeeeeeeee

Ha ha haaaaaa yote wananitupia lazima

Wa likes thanks


Ya vyeti wasio na akili ndio wanadanganyana huku wakidai wana div 1*, manyu.... kazini na wafata mikumbo
 
  • Thanks
Reactions: Luv
For the time being, hakuna chochote, yeyote awezaye kumsafisha Makonda.

Probably he'll make something worse. Hili joto halipungui mkuu
Walimsafisha Mh.Lowasa watashindwa kumsafisha Bashite?


Wanapiga danadana anavuliwa uongozi kisha anachukua kadi ya CHADEMA na kiponda serikali , akidai ilimtumia vibaya.

Kisha anakuwa shujaa wetu.
 
Ruge ameshamaliza mambo bila kuacha shaka yoyote, Kipanya akampa siri kuwa angeongea tofauti bila kunyoosha yeye angetafakari upya kufanya kazi na clouds.

Waliokuwa wakatoa povu kumtetea dogo , mara alienda kufuatilia documentary yake, mara pale sio studio bali ni hotel, mara alienda kirafiki, haya njooni sasa. Nuru na giza wapi na wapi!
Kipanya sio mnafiki mbele ya boss kabisa
 
Hiyo ndo inaitwa hekima, safi sana kwa kusema hakuna aliyejeruhiwa. Maneno aliyotamka yatakuwa ni silaha nzito kuliko kupambana nae kwa njia ya kawaida.
baada ya kusikia kina soudy kupewa likizo unajua nini tu kimewakuta
 
Anachofanya Ruge ni kumwepusha Bashite na jinai ya wazi! Kukanusha kuwa hakuna aliyepigwa wakati sisi watanzania tunajua polisi wetu wanavyofanyaga kwenye mazingira kama hayo, ukitilia maanani kuwa Bashite alikuwa amekasirika kwa kuwa bila shaka alikuwa amewapa motisha (kitu kidogo) watu hawa! Hasira ya yote hayo ni mwehu peke yake ambaye anaweza kuamini kuwa wahusika waliachwa salama bila hata Kofi!
Hongera Ruge kwa kumfichia jinai Bashite likabaki lile la kimaadili!
Angalau kwenye bargaining pale central ulijitahidi! Ulikataa kumhifadhi Bashite asilimia 100. Umemhifadhi hili la jinai lakini la kimaadili umeliweka wazi, Bashite hana maadili!
Lakini kwa upande mwingine, amesema wale vijana wake wana hali mbaya na wameomba likizo! Swali la kujiuluza ni kuwa je kitendo cha Bashite kudai apewe flash ya kipindi chake na kuuliza kwa nini hawajarusha kipindi chake ndicho kimewafanya wawe na hali mbaya kiasi cha kuomba likizo?
Pili hayo ya kuomba flash tu na kuhoji kwa nini kipindi hakikurushwa ndiyo ichukue dakika 20(under estimate)?
 
Gwajima popote ulipo pokea sadaka yangu ww ni zaidi breki ya ndege maana bashite anaongea na mshua aangalie SHILAWADU na wewe taarifa unapata on the spot lakini mungu acheni aitwe mungu maana kaamua kumuumbua bashite na watu wake

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Akimuacha nitalishangaa bunge kama litashindwa kupiga kura ya kutokua na imani na rais na hatimae kumuondoa yeye na bashite wake
siku bunge likifanya hivyo, hapa tz watu wataweka sherehe, manake maisha mtaani huku ni magumu sana kwa fisadi hadi kwa mtu mwema. sasa sijui nani anaadhibiwa hapa, manake bora fisadi aliiba za kutosha sasaivi ametulia anazitumia tu. mtu mwema ndio hata hakuwa nazo hapo zamani na sasaivi hapati hata kidogo. nchi imesambaratika, hatuna mwelekeo, ukiwaangalia usoni utafikiri wana kitu cha maana wanakifanya, kumbe itafika 2020 hali itakuwa hivihivi, mtu ataulizwa vipi miaka mitano umefanya nini, ataonekana hakuna alichokifanya zaidi ya kumtetea bashite..hahaha
 
Back
Top Bottom