Mkurugenzi wa Richmond apandishwa kizimbani!

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Kuna taarifa kwamba wamiliki wa Kampuni ya Richmond Development LLC, wanafikishwa mahakamani mchana huu, ikiwa ni dakika za mwisho za mahakama. Habari zaidi baada ya kuthibitisha
 
Last edited by a moderator:
Ina maana yule mmiliki wake aliyekuwa USA ataitwa kujibu kesi?, mengi yatafichuliwa/yataibuka kwa hii kesi kama itaendeshwa kisheria na kihalali.
 
Kuna taarifa kwamba wamiliki wa Kampuni ya Richmond Development LLC, wanafikishwa mahakamani mchana huu, ikiwa ni dakika za mwisho za mahakama. Habari zaidi baada ya kuthibitisha
Nimepata taarifa hizo lakini uthibitisho ndo bado unaniwia mgumu. Wengi nikiwapigia simu hazipokelewi!
 
Ngoja tusubili naona muda unazidi kutupa mkono.
Afadhali ibaki hivi hivi kama tetesi.
 
Halisi na Invisible kuongelea kitu hicho hicho, hapo kuna jambo kubwa linakuja. Huwa nawaheshimu hawa wakuu wa wawili kwa breaking news.
 
Halisi na Invisible kuongelea kitu hicho hicho, hapo kuna jambo kubwa linakuja. Huwa nawaheshimu hawa wakuu wa wawili kwa breaking news.
Mtanzania, tatizo ni kuwa taarifa nilizo nazo ni kuwa DPP yuko likizo, sasa najaribu kuwasiliana na walio karibu na maeneo ya Kisutu kupata confirmation. Bado hii ni "Tetesi"
 
The Winner is Richmond!!!! And then ata apply fidia ya mabilioni!!!! Tehe Tehe. Mchezo mwingine huo!!!!
 
Mtanzania, tatizo ni kuwa taarifa nilizo nazo ni kuwa DPP yuko likizo, sasa najaribu kuwasiliana na walio karibu na maeneo ya Kisutu kupata confirmation. Bado hii ni "Tetesi"

Mkuu Invisible, kama DPP yuko likizo si kuna mtu anakaimu, ama kafunga ofisi?.
 
Mtanzania, tatizo ni kuwa taarifa nilizo nazo ni kuwa DPP yuko likizo, sasa najaribu kuwasiliana na walio karibu na maeneo ya Kisutu kupata confirmation. Bado hii ni "Tetesi"

Suala hapa si tetesi tena bali ni kwamba dakika tano zilizopita mtuhumiwa amekwisha kupandishwa kizimbani. Ni hakimu gani na mashitaka gani. Tusubiri. Ni vyema pia tukaendelea kuita tetesi hadi pale tutakapoletewa data kamili
 
Hapo nahisi lazima kuna watu wanatolewa kafara haswa dagaa na mapapa tunayo yahitaji tuyatafune yanaendelea kukingiwa kifua. Ngoja tusubili.
 
Ukweli ni kwamba media iko imetanda pale kisutu na hapo napo incharge haonekani sasa wadadvuzi endeleeni kurusha viinzi vyenu
 
mkuu bado huja confirm kama wamepandishwa kweli kisutu?
Oooh,

Suala si kama wamefikishwa Kisutu, wapo... Suala ni kina nani ndilo linanitatiza na kila simu ya aliye pale Mahakamani haipokelewi wala sms hazijibiwi.

I'll be back
 
Back
Top Bottom