Mkurugenzi wa Richmond apandishwa kizimbani!

MN,

Yes, naambiwa ni Naeem Gire na wenzake. Sasa wenzake ndo bado sijapata majina yao ni yepi. Au kasindikizwa tu?
 
Mohamed Gire alikuwa mshika mpini tu. Tunalitaka jembe la Richmond!!!! Gire ndo Mbuzi wa kafara au!!!!???
 
Huyo ndiye mwanzilishi wa Richmond, msome hapa chini:

RICHMOND PRINTING

Sidhani kama ni mtu mdogo kwenye hili suala. Inabidi watu waelewe kwamba ukitumiwa na wanasiasa, watakuruka siku ya kifo.
 
Yeah ni kweli kapandishwa mmoja tu Gille na dhamana imezuiliwa mpaka j3 maana uchunguzi bado unaendelea.
 
Huyo ndiye mwanzilishi wa Richmond, msome hapa chini:

RICHMOND PRINTING

Sidhani kama ni mtu mdogo kwenye hili suala. Inabidi watu waelewe kwamba ukitumiwa na wanasiasa, watakuruka siku ya kifo.

EXECUTIVE TEAM
Mohamed Gire | Samad Gire | Javeed Gire | Zahoor Gire | Imad Gire

Mohamed Gire
Chief Executive Officer

Mohamed Gire founded Richmond Printing in 1985. Mohamed's unique blend of marketing, operations management and business expertise has led Richmond Printing from a small, family owned business to one of Houston's top design presses.

Mohamed overlooks Richmond's strategic client relations, operational excellence and efficiency in company's supply chain, manufacturing, quality assurance, customer service and finance.

A prominent businessman and an active private investor, Mohamed is actively involved with civic, social and political organizations. He serves on the Mayor's Advisory Board for International Affairs and Development (MABIAD- Africa), and is also one of the founding charter member of The Indus Entrepreneurs (TIE), a global, not-for-profit organization dedicated to the advancement of entrepreneurship.
Asante kwa link mkuu Mtanzania! Lakini ndo Mohamed huyu alokamatwa? Au ndiye Moh wa US huyu?
 
Ameletwa nchini Mohamed Gire? au yule mdogo wake wa internet cafe aliyoisema Mzee Ndesamburo wakati ule?
 
Kampuni iliyosajiliwa kihalali is an entity on its own, yaani kwa mujibu wa sheria, kampuni ni mtu tofauti na mmiliki inalindwa na sheria ya corporate. Mtu kampuni ana mamlaka ya kufanya kila kitu, isipokuwa yanapojitokeza mambo makubwa kisheria, yanayothibitisha kuna mkono wa mmiliki katika ukiukwaji wa sheria, mathalan kukwepa kodi, ndipo, inafanyika taratibu ya 'unmasking' the corporate shield na kuwafichua wamiliki na kuwashitaki.

Hivyo kwenye Richmond ni Gile tuu na samaki wadogo, hao wakubwa kwa vile majina yao hayapo kwenye usajili, they are safe, na wanaendelea kuponda mali kwa raha zao.
 
Ameletwa nchini Mohamed Gire? au yule mdogo wake wa internet cafe aliyoisema Mzee Ndesamburo wakati ule?

Mkuu ile C@fe pale karibu na Riki Hill hotel ni ya hawa ndugu akina Gire?
Ile C@fe ipo nyuma ya Keys hotel ya Ndesambulo.
 
Haya wakuu mwari keshaonekana, tusubiri mazingaombwe mengine Kisutu-Keko, maana ...dunia ya sasa imani imekwisha, kwenye watu kumi binadamu mmoja...
 
Mmoja wa wamiliki wa kampuni ya Richmond Development ambayo iliwahi kuingia mkataba na Tanesco wa kuleta majenera ya umeme amefikishwa mahakamani. Bw. Gire ni mmoja wa ndugu karibu saba waishio eneo la Houston ambao wamekuwa wakijishughulisha na biasharra mbalimbali hasa .........
 
nitakuja kufurahi siku moja nikisikia na lowasa ameanikwa maovu yake, na pia ameburuzwa mahakamani na kufilisiwa, kwasababu alitutawala mno wajameni, na tunashindwa ni wapi pa kumkamatia tu lakini na yeye ametufisadi vya kutosha.
 
Mkuu ile C@fe pale karibu na Riki Hill hotel ni ya hawa ndugu akina Gire?
Ile C@fe ipo nyuma ya Keys hotel ya Ndesambulo.

Bila kumung'unya maneno Mh.Ndesamburo alisema hiyo cafe ni ya akina Gire na aliyekuwa anatajwa kama Director wa Richmond na ambaye alikuwa msemaji mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari ndiye haswa alikuwa mwendeshaji wa shughuli zile.

Ndesamburo anasema alistuka kuona hao vijana waendesha internet cafe hiyo uliyoitaja kuwa ndiyo wamepewa kazi kubwa ya kufua umeme wa dharura wa megawati 100 na serikali ya Tanganyika.
 
Kazi ipo. hii ni huwezi kuona mahali pengine, ni Made in Tanzania
 
Hivi jamaa bado alikuwa Dar? Mimi nilifikiri alishakimbilia USA kwao muda mrefu.

Je aliyefikishwa ni Mohamed Gire mwenyewe au hao wadogo zake. Kama ni yeye mwenyewe nafikiri ni mhusika mkubwa sana ukiondoa hao wanasiasa.

Watu inabidi kujifunza, wanatumiwa na wanasiasa, majanga yakija, wao wanaishia Keko huku wanasiasa wanapeta.
 
Yeah ni kweli kapandishwa mmoja tu Gille na dhamana imezuiliwa mpaka j3 maana uchunguzi bado unaendelea.

Uchunguzi bado unaendelea!!!

Huu huwa ni msemo wa kimahakama? Swala hili limeundiwa tume, limekaa zaidi ya mwaka, hivi ni kweli uchunguzi bado kukamilika!

Bila shaka EL, NK na IM watafuata kwa matumizi mabaya ya madaraka.
 
Mkuu unajua tena mbinu hizo.
Wanadai usiende pupa hata kama kila kitu kipo wazi watakwambia uchunguzi bado unaendelea au ushahidi haujakamilika hizi ni lugha za kimahakama siku zote kuvuta pumnzi.
 
Back
Top Bottom