Mkurugenzi wa kinondoni; bajeti ya vinywaji million 8, magazeti millio 5 tutafika?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kwa hali isiyokuwa ya kawaida jana kuna diwan mmoja wa chadema alikuwa analalamika na kudai anashangaa watu wanapeleka hela nyingi kwenye bajeti za mambo yasiyo namaana wakati vitu muhimu avifanyiwi kazi...akasema utashangaa ofisi ya Mkurugenzi wa kinondoni anapangiwa vinywaji million 8;;bajeti ya magazeti million 5...wapendwa niliomba nikakojoe kwanza ...nimefikiria maximum ya magazeti tulionayo ni 7 * 700 =4900 tzs haya ni yake tufanye na msaidizi wake

4900 *31 = 151,900 *12 =1,822,800 *2 = 3,645,600

jamani hizi pesa zinatokea kwa watanzaniana kodi zao ama kuna kisima cha fedha pale hazina ??
 
Kinondoni yenye Meya kijana na Msomi lakini kesha tumbukizwa kwenye shimo la wanaokataa kujivua magamba miaka mitano itapita tukiangalia vinyesi vikielea,machinga wakiongezeka mara tatu,mashimo barabarani,shuleni wakiendelea kukaa chini,biashara ya vichanga vilivyokufa ikishamiri mwanayamala,hakuna jipya kabisa
 
niliitazama ikanisikitisha sana, kumbe bado kuna kazi ya kujivua magamba.

laura ni ndefu kazi kubwa mbele inatunyemelea ma dia sijui tutawaondoaje mi nahisi wakina gwajima,, rwakatare ,,mzee wa efwata wafike stage waachane na maubiri ya samunge wapige maombi hii serikali kuanzia shina mtaa mpaka mwisho.....yaani ni aibu huko manispaa ndio maana niliomba thread moja cag aachane na hayo afwatilie yale aliosema yamefanyiwa kazi kama anaendelea kutangaza atufurahishi sisi anatuumiza tu na wengine kuamua kuwa wezi na majambazi kuliko kuona watu wanasaini mabilion
 
hawa ni vichaa kabisa wa kutafuna pesa.

Kwa hali isiyokuwa ya kawaida jana kuna diwan mmoja wa chadema alikuwa analalamika na kudai anashangaa watu wanapeleka hela nyingi kwenye bajeti za mambo yasiyo namaana wakati vitu muhimu avifanyiwi kazi...akasema utashangaa ofisi ya Mkurugenzi wa kinondoni anapangiwa vinywaji million 8;;bajeti ya magazeti million 5...wapendwa niliomba nikakojoe kwanza ...nimefikiria maximum ya magazeti tulionayo ni 7 * 700 =4900 tzs haya ni yake tufanye na msaidizi wake

4900 *31 = 151,900 *12 =1,822,800 *2 = 3,645,600

jamani hizi pesa zinatokea kwa watanzaniana kodi zao ama kuna kisima cha fedha pale hazina ??
 
Hayo magazeti anayasoma yeye kwa faida ya wilaya au kwa faida yake? Ni magazeti mangapi kwa idadi? Na vinywaji hivyo ni kwa ajili ya kukirimu wageni wa ofisi yake au wa nyumbani kwake? Kama ni wageni wa ofisi kwanini awakirimu, kwani hawana bajeti zao walikotoka?
 
ukiende kwenye details utakuta na budget ya uji wa ulezi na chapati...mapka toothpick wanaweka wakati kwetu kule iringa ukimaliza kula unabanjua kakijiti kwenye kuni zilizoko jikoni mamabo safi yanaendelea
 
ha ha ha ha ha ha ha nyie watu mnafurahisha sana aisee, ila mkuu hii nchi inahitaji overhaul ya kufa mtu

hizi siasa za kujivua gamba ni uhuni wa kitoto kabisa
 
Kuna rafiki yangu mmoja nilishawahi kumwambia kuwa bongo si masikini tatizo ni kila tunayempa nafasi anakuwa mwizi na hana huruma na wabongo masikini ila anakuwa na uchu wa kutaka kujitajirisha tu akakataa!! Sasa hapo ni wazi kuwa nusu ya hizo hela walizotenga wanachukua wao ambazo zingeweza kuweka madawati kwenye shule za msingi.. Na hapa ni sehemu moja tu, je kule kwenye miradi yenyewe si ndio madudu matupu... Hii inauma sana kwani hata mkuu wa kaya anayajua haya... Unless tumewatoa hawa jamaa hatutokaa tuendelee kamwe kwa wizi huu wa wazi!!!
 
Kwa hali isiyokuwa ya kawaida jana kuna diwan mmoja wa chadema alikuwa analalamika na kudai anashangaa watu wanapeleka hela nyingi kwenye bajeti za mambo yasiyo namaana wakati vitu muhimu avifanyiwi kazi...akasema utashangaa ofisi ya Mkurugenzi wa kinondoni anapangiwa vinywaji million 8;;bajeti ya magazeti million 5...wapendwa niliomba nikakojoe kwanza ...nimefikiria maximum ya magazeti tulionayo ni 7 * 700 =4900 tzs haya ni yake tufanye na msaidizi wake

4900 *31 = 151,900 *12 =1,822,800 *2 = 3,645,600

jamani hizi pesa zinatokea kwa watanzaniana kodi zao ama kuna kisima cha fedha pale hazina ??

Hivyo ndo vipau mbele vya serikali ya CCM tumbo kwanza wananchi baadae wao wakishiba
 
Naendaga kwenye ofisi ya huyo meya wala sijawahi kuona gazeti wala mtoto wake na chai. Udogo wa mawazo, kila siku wanafikiria kula. Nijukumu la madiwani na wabunge waadilifu kutupatia hizi habari kwa undani ili tuwashughulikie hawa wezi.

Habari ni muhimu sana zikiwafikia wananchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom