chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,240
- 2,118
Wakala wa LATRA?! zile ni ofisi zao. Jaribu kucheki tena.Zile ni ofisi za wakala wao.

Mkuu hoja yako ya kuzungumza na CPA kama unachangamoto au maoni ni wazo zuri lakini tambua kuna watenda kazi wengi chini yake ambao wanaweza kutatua changamoto yako kabla ya kufika kwa CPA Habibu suluo,Mkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza huna namba ya huyo meneja wa mkoa wako, pili wamezitoa za nini? Kujikosha kwa Rais.
Tatizo lingine kubwa naloona kuhusu matatizo yanayowapata wananchi kutoshughulikiwa ni waziri mwenye dhamana. Profesa Makame Mbarawa zaidi ya kujishughulisha na miradi ya wizara hajishughulishi kufuatilia matatizo ya wananchi yeye huhangaika na miradi ya wizara.
Mheshimiwa Rais kama unampenda sana kwasababu ni mzanzibari mwenzio mpeleke wizara nyingine au muundie wizara yake na iitwe wizara ya Miradi ya Serikali. Waziri pekee aliyeifaa hii wizara hii ni Dr. Harrison Mwakyembe, yule bwana aliiweza hii wizara. Tuletee mtu kaliba ya Mwakyembe, kwanza mhe Rais unajua nauli tunayopigwa? Pamoja na kwamba nauli imeongezwa mara 2 ndani ya mwaka 1 tendo ambalo halijawahi kutokea nchi hii wenye mabasi wamejiongezea zaidi ya nauli ya Serikali.
Kwa mfano nauli ya Arusha-Babati inatakiwa iwe sh. 8,000 mabasi yanachaji sh. 10,000, hili ongezeko la karibu asilimia 100 maana mwaka juzi nauli ilikuwa sh. 6,000. Wazanzibari mnatupeleka wapi sisi wabara? Kule kwenu hakuna haya. Mambo haya yanaleta hisia mbaya sana, huyu mzanzibari hatufai ktk hii wizara matatizo yetu hayamgusi. TULETEE MWAKYEMBE au anayefanana naye tumechoka wenye mabasi wanatutesa utafikiri hakuna serikali.
Taboa Ni chama.cha wamiliki wa vyombo vya usafiri........sijaona chombo cha kutetea wasafiriKuna taboa
Pole sana kwa hiyo changamotoMkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza huna namba ya huyo meneja wa mkoa wako, pili wamezitoa za nini? Kujikosha kwa Rais.
Tatizo lingine kubwa naloona kuhusu matatizo yanayowapata wananchi kutoshughulikiwa ni waziri mwenye dhamana. Profesa Makame Mbarawa zaidi ya kujishughulisha na miradi ya wizara hajishughulishi kufuatilia matatizo ya wananchi yeye huhangaika na miradi ya wizara.
Mheshimiwa Rais kama unampenda sana kwasababu ni mzanzibari mwenzio mpeleke wizara nyingine au muundie wizara yake na iitwe wizara ya Miradi ya Serikali. Waziri pekee aliyeifaa hii wizara hii ni Dr. Harrison Mwakyembe, yule bwana aliiweza hii wizara. Tuletee mtu kaliba ya Mwakyembe, kwanza mhe Rais unajua nauli tunayopigwa? Pamoja na kwamba nauli imeongezwa mara 2 ndani ya mwaka 1 tendo ambalo halijawahi kutokea nchi hii wenye mabasi wamejiongezea zaidi ya nauli ya Serikali.
Kwa mfano nauli ya Arusha-Babati inatakiwa iwe sh. 8,000 mabasi yanachaji sh. 10,000, hili ongezeko la karibu asilimia 100 maana mwaka juzi nauli ilikuwa sh. 6,000. Wazanzibari mnatupeleka wapi sisi wabara? Kule kwenu hakuna haya. Mambo haya yanaleta hisia mbaya sana, huyu mzanzibari hatufai ktk hii wizara matatizo yetu hayamgusi. TULETEE MWAKYEMBE au anayefanana naye tumechoka wenye mabasi wanatutesa utafikiri hakuna serikali.
Tanzania ni nchi moja yenye muunganiko wa bara na visiwani .Mkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza huna namba ya huyo meneja wa mkoa wako, pili wamezitoa za nini? Kujikosha kwa Rais.
Tatizo lingine kubwa naloona kuhusu matatizo yanayowapata wananchi kutoshughulikiwa ni waziri mwenye dhamana. Profesa Makame Mbarawa zaidi ya kujishughulisha na miradi ya wizara hajishughulishi kufuatilia matatizo ya wananchi yeye huhangaika na miradi ya wizara.
Mheshimiwa Rais kama unampenda sana kwasababu ni mzanzibari mwenzio mpeleke wizara nyingine au muundie wizara yake na iitwe wizara ya Miradi ya Serikali. Waziri pekee aliyeifaa hii wizara hii ni Dr. Harrison Mwakyembe, yule bwana aliiweza hii wizara. Tuletee mtu kaliba ya Mwakyembe, kwanza mhe Rais unajua nauli tunayopigwa? Pamoja na kwamba nauli imeongezwa mara 2 ndani ya mwaka 1 tendo ambalo halijawahi kutokea nchi hii wenye mabasi wamejiongezea zaidi ya nauli ya Serikali.
Kwa mfano nauli ya Arusha-Babati inatakiwa iwe sh. 8,000 mabasi yanachaji sh. 10,000, hili ongezeko la karibu asilimia 100 maana mwaka juzi nauli ilikuwa sh. 6,000. Wazanzibari mnatupeleka wapi sisi wabara? Kule kwenu hakuna haya. Mambo haya yanaleta hisia mbaya sana, huyu mzanzibari hatufai ktk hii wizara matatizo yetu hayamgusi. TULETEE MWAKYEMBE au anayefanana naye tumechoka wenye mabasi wanatutesa utafikiri hakuna serikali.
Kuna taboa
Mimi naona bora tuseme tu ukweli, hawa latra naona wanajitahidi sana ukilinganisha na kero zilizopo katika sekta, nimeshapiga simu mara kadhaa na kupokelewa na hatua zikachukuliwa, nimeona wameweka hadi namba zao za mikoani na za viongozi katika intagram story yao ya latra_tz na wanajibu hadi baadhi ya commentsMkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza huna namba ya huyo meneja wa mkoa wako, pili wamezitoa za nini? Kujikosha kwa Rais.
Tatizo lingine kubwa naloona kuhusu matatizo yanayowapata wananchi kutoshughulikiwa ni waziri mwenye dhamana. Profesa Makame Mbarawa zaidi ya kujishughulisha na miradi ya wizara hajishughulishi kufuatilia matatizo ya wananchi yeye huhangaika na miradi ya wizara.
Mheshimiwa Rais kama unampenda sana kwasababu ni mzanzibari mwenzio mpeleke wizara nyingine au muundie wizara yake na iitwe wizara ya Miradi ya Serikali. Waziri pekee aliyeifaa hii wizara hii ni Dr. Harrison Mwakyembe, yule bwana aliiweza hii wizara. Tuletee mtu kaliba ya Mwakyembe, kwanza mhe Rais unajua nauli tunayopigwa? Pamoja na kwamba nauli imeongezwa mara 2 ndani ya mwaka 1 tendo ambalo halijawahi kutokea nchi hii wenye mabasi wamejiongezea zaidi ya nauli ya Serikali.
Kwa mfano nauli ya Arusha-Babati inatakiwa iwe sh. 8,000 mabasi yanachaji sh. 10,000, hili ongezeko la karibu asilimia 100 maana mwaka juzi nauli ilikuwa sh. 6,000. Wazanzibari mnatupeleka wapi sisi wabara? Kule kwenu hakuna haya. Mambo haya yanaleta hisia mbaya sana, huyu mzanzibari hatufai ktk hii wizara matatizo yetu hayamgusi. TULETEE MWAKYEMBE au anayefanana naye tumechoka wenye mabasi wanatutesa utafikiri hakuna serikali.
Ni Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za usafiri Ardhini (LATRA CCC, ndo watetezi wa watumia hudumaTaboa Ni chama.cha wamiliki wa vyombo vya usafiri........sijaona chombo cha kutetea wasafiri
Mkuu wapo 24/7 hrsLabda wanakuja ofisini saa moja na nusu asubuhi, wakati inatakiwa wawepo usiku kucha...