Ukisema hivyo ina maana Madiwani wote wa Halmashauri ya Mbeya mjini pamoja na Mbunge wao ni chokonoko (sijui una maana gani hapo). Kumbuka Mkurugenzi ni mtekelezaji wa maamuzi ya Madiwani.
kaka unakosema yalazima 2jue nchi yetu inaöngozwa kwa wanaosema ndio wameshinda kwa hiyo si kila lipitishwapo jambo basi mbunge karidhia, madiwani wote wameridhia. Daima hoja zinazogusa wananchi walio wengi huwa zinapigwa chini ndani ya bunge, hata halmashauli.