Mkurugenzi-jwt foreigner!!???

sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
517
169
salamuni ziwafikie wote

jamani nimetoka kuangalia taarifa ya habari ya michezo ITV imeonyesha vodacom wamefanya shuffle dance..moja ya watu waliohojiwa alikuwa ni foreigner wa kizungu
afu chini title yake ikaandikwa Mkurugenzi-JWT

kwa uelewa wangu JWT ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania..kama kuna kampuni binafsi siifahamu na niko tayari kukosolewa..imenitatanisha sana,kwani iweje kuna mkurugenzi wa kigeni jeshini kwetu kwani hatuna watanzania wenye sifa za kuwa wakurugenzi jeshini? Au ni waandishi wetu kutokuwa makini na kazi zao?

Nawasilisha
 
JWT ni kampuni ya Kenya ambayo ni wakala wa Matangazo ( advertising Agency) wanaosimamia matangazo yote ya Vodacom. JWT ni kifupi cha majina matatu ya wamiliki wa kampuni hiyo. Majina hayo siyakumbuki lakini hao ndio walionunua kampuni ya Scanad ambayo pia ilikuwa ni wakala wa matangazo wa Vodacom. Ofisi za JWT ziko mlimani city kwenye block la Executive mahala palipo na Ofisi za idara ya Makerting, corporate na Vodacom makao makuu.
 
thanx kwa ufafanuzi mkuu.
 
jamani tuwe makini tunaposoma vitu JWTZ ni tofauti na JWT kama ilivyo tofauti kati ya hizi no 800 na 8001
 
Hivi mtu hata kuandika title inakua shida jamani?? Tutafika kweli namna hii???:nerd::director::director::director:
 
JWT ni kampuni ya Kenya ambayo ni wakala wa Matangazo ( advertising Agency) wanaosimamia matangazo yote ya Vodacom. JWT ni kifupi cha majina matatu ya wamiliki wa kampuni hiyo. Majina hayo siyakumbuki lakini hao ndio walionunua kampuni ya Scanad ambayo pia ilikuwa ni wakala wa matangazo wa Vodacom. Ofisi za JWT ziko mlimani city kwenye block la Executive mahala palipo na Ofisi za idara ya Makerting, corporate na Vodacom makao makuu.

Asante kwa ufafanuzi.ubarikiwe
 
Blah blah tu,kwa kushindwa kutofautisha kitu kidogo kama JWT na JWTZ sijui kama elimu yetu inatusaidia kweli sisi Watanganyika.
 
Back
Top Bottom