Mkulima halisi from Katavi

Karibu sana. Huku Jamii Forums kila mtu ana hela sana. Hakuna mkulima
 
Kwanini ya mbiga Iko bei juu?
Mbuga heka moja makadilio ya juu Watu wanapata Hadi gunia 25-30. Gunia moja lina simamia 90k ivi. 25*90=2250000. Kwaiyo tukija kwenye swali lako, Bei inakua juu kwa sababu mapato nayo yapo juu.

B4
 
iko vizur iyo,mahind mwaka huu wataanza kupanda tena msimu ghani?
 
Back
Top Bottom