Uchaguzi 2020 Mkubwa Dawa, Profesa Juma Kapuya achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kaliua

Jamani hivi watoto wa hayati Samwel Sitta wako wapi ? Na yule aliyekuwa meya, haenda kugombea jimbo la mzee.. nitamshangaa akitia nia Dsm.
 
Kuna umuhimu wa vijana wa Tanzania kuamka na kubalika. Huyuu mpuuzi tangu niko primary namsikia kwenye keki mbalimbali za taifa..

Ni nini hajaridhika!?? Kupeleka mtu ka huyu bungeni ni bora kupeleka shati.
 
Back
Top Bottom