Mkosamali: Kama Watanzania wataichagua CCM tena, basi waitwe wataalamu tupimwe akili

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Kama watanzania wataamua kukichagua ccm basi waitwe wataalamu tupimwe akili.

Take simple example

"Popote anapopita Lowasa, mbumbumbu hawamwuulizi kama ana uwezo wa kupambana na ufisadi (mafisadi papa) na rushwa"
 
Last edited by a moderator:
Nchi yetu yaweza kuwa na laana ila sisi tuu hatujui. Kama inafikia viongozi wetu wa dini wanajua wazi kuwa huyu au yule ni mwizi,muongo au fisadi ambaye kwa matendo yake yamesababisha dhiki, maradhi na vifo kwa masikini ambao MUNGU wanayemhubiri anawapenda basi ujue dira hata katika dini zetu haipo.
Kiongozi wa dini anapewa bahasha nono ili aje kwenye mkutano wa mtu mwongo na fisadi ili atoe dua na baraka naye anakuja. Kweli MUNGU sasa hivi anahuruma zaidi ya kale, ingekuwa hapo kale kuna watu sasa hivi wangekuwa wanapigwa radi au ukoma wakiwa jukwaani hapohapo.
 
Ni laana
 
Leo asubuhi naangalia STAR TV tu on gee Asubuhi, Mtangazaji kawaalika wageni ambao ni wagombea mmoja wapo akiwa ni msanii wa muziki wa hiphop Kalla PINA katika hoja zake anadai imefika muda wa kuitoa serikali ya CCM na kuzidi kutoa maneno ya maudhi kuwa hata ukimuweka ISSA AU YESU HAWEZI KUONGOZA...
 
Kalla Pina anagombea jimbo gani? KITEGO
 
Last edited by a moderator:
.... Kala Pina Yuko Sahihi Mkuu, Ccm Haina Dira Tena, Nadhani Inaongozwa Na Shetani.
 
CCM haitatoka leo wala kesho.
Maana wale tuliodhani wataitoa ndio hao hao wanafanya ya ajabu ajabu....
 
Leo asubuhi naangalia STAR TV TUONGEE ASUBUHI mtangazaji kawaalika wageni ambao ni wagombea mmoja wapo akiwa ni msanii wa muziki wa hiphop KALLA PINA katika hoja zake anadai imefika muda wa kuitoa serikali ya CCM na kuzidi kutoa maneno ya maudhi kuwa hata ukimuweka ISSA AU YESU HAWEZI KUONGOZA...

Alichosema kalapina ni kweli hata ukimleta nabii CCM hakuna jipya atakalofanya zaidi wanaweza mpeleka mabwe pande
 
Leo asubuhi naangalia STAR TV TUONGEE ASUBUHI mtangazaji kawaalika wageni ambao ni wagombea mmoja wapo akiwa ni msanii wa muziki wa hiphop KALLA PINA katika hoja zake anadai imefika muda wa kuitoa serikali ya CCM na kuzidi kutoa maneno ya maudhi kuwa hata ukimuweka ISSA AU YESU HAWEZI KUONGOZA...

Yani dini yetu ni wavumilivu sana.
Huyo jamaa amemtaja Yesu akijua wakristu hawawezi ku-react. Hata Kibonde kwenye ishu za wachungaji au dini ya kikristu hulopoka anavyojisikia.
 
ccm haiwezi kutoka na mkosamali akapimwe yeye kwanza tambua hoja za kitoto km hzo amwambie mkewe cc 2nataka hojaaa nzito
 
Mimi nasema Watanzania Wakichagua CCM Mwaka huu Nashauri Tutafute Consultanct wa Kupima UWEZO wa Kufikiri wa Watanzania..."Felix Mkosamali Mbunge wa Muhambwe
 
Watanzania wanaakili bana hawawezi kuchagua fisadi Lowasa wakamwacha mchapakazi magufuli.
 
Hivi wana siasa wametuona hatuna Akili. Ni mchague fisadi, mgojwa, asiyejua kuongea . Nimuache makufuli mchapakazi. Kisa eti mfumo. Kama wao wanaatutakia heli kwanini wasingetuletea mtu mzuri.
 
Back
Top Bottom