Bwoii. . . that IS something.
The things that people do to be accepted by 'ghosts' in the world wide web just beats me.
Why do people care so much about people they don't know?
Keeping tabs?!
Kwanzia leo nakua mtoto mzuri nisikose zawadi.
Well, maybe they are just trynna make up for what they miss in the real world.
Crazy right. . . .!!
Hehehehe.
Natakaaaaaaaa mihogo ya kujaanga na kachumbari yenye pili pili kwa mbali.
Basi tu, vichwa vya binaadamu sijui vinafanya kazi vipi. Kwa sababu wengine ni kama ulivyosema labda wana matatizo katika maisha halisi, lakini wengine wanajieleza kuwa wana mahusiano ya kihisia yenye afya ya hali ya juu na watu wao wa karibu, unless hiyo nayo iwe ni kamba za kwenye mitandao tu
Sioni kwa nini mtu aje sehemu kama hii iliyojaa watu wa kila aina, kisha ategemee watu wasipinge hoja zake, na akipingwa ajisikie vibaya.
....lol! mwaka mpya kulikuwa na mihogo ya kukaanga na pilipili ya unga iliyochanganywa na chumvi....hutaki pilipili ya unga shurti kachumbari!?
Watu wengi kwenye jamii yetu bado hawajafikia hatua ya kukubali kukosolewa. Ukimkosoa mtu ndo wengine wataporomosha matusi na wengine wanajawa na mawazo ya "humpendi wala humuuingi mkono kwa lolote". Sasa sijui wanataka wawe wanaungwa mkono kwa kila kitu hata visivyo sahihi ili iweje.
Upo sahihi, sio kuwa hawajafikia hatua ya kukubali kukosolewa tu kuna wengine humu humu JF wanasema kuwa kwa kujiamini kwako wewe Lizzy (kwa mfano), basi unageuka "downer" kwa maisha yake yeye!
Sio kuungwa mkono kila wakati, hata hiyo kutaka kuungwa mkono mara moja moja na a specific person naona haina mantiki. Kama umegundua kuwa mawazo yenu kila wakati ni tofauti, ni kuonyesha tu you are lucky kuweza kumjua mtu ambae ni tofauti kabisa na wewe kimtazamo
Hahahaha inabidi watu wawe wanaficha na kujiamini kwao ili wengine nao wajisikie huru ehhhh. . !?lolz
Hiyo ya mtu kuwa na mtu ambae anaona kuungwa nae mkono ni kitu kikubwa sana na kupingwa nae ni kibaya sana tayari anakua amemuweka kwenye daraja la juu sana kiuelewa/utambuzi wa mambo. Kwahiyo ni muhimu akubaliwe nae ili aone nae kajitahidi kufikia kupata approval toka kwa huyo "kinara" na kila anapokosolewa nae kujiamini nako kunashuka. Ndo hata mashuleni wengine hua wanakata tamaa kwavile tu mwl. fulani hajawahi kumwandikia Vema kwenye daftari.
Kwani mashuleni mpaka darasa la ngapi watu wanaandikiwa 'vyema' ...? Manake kwa kumbukumbu zangu, kuanzia form one sikuwa nikiandikiwa hivyo tena! :lol:
Teh teh teh....wengine kuanzia fomu wani hadi fom foo hatukuwahi hata kuwa na daftari!
Siku ya mtihani ni kutumia nyenzo kwa kwa kwenda mbele! Gademu...sijui tulikuwa tunamdanganya nani.
Hahahahaha si bado kuna somo la kiswahili sec bana?Nwy nadhani secondary wao wanaweza wakawa wanaandika Very Good au Well done.Kwani mashuleni mpaka darasa la ngapi watu wanaandikiwa 'vyema' ...? Manake kwa kumbukumbu zangu, kuanzia form one sikuwa nikiandikiwa hivyo tena! :lol:
Kama mlikua mnakula shule basi labda ulikua unamaind msosi tu. . . .Teh teh teh....wengine kuanzia fomu wani hadi fom foo hatukuwahi hata kuwa na daftari!
Siku ya mtihani ni kutumia nyenzo kwa kwa kwenda mbele! Gademu...sijui tulikuwa tunamdanganya nani.
Hahahahaha si bado kuna somo la kiswahili sec bana?Nwy nadhani secondary wao wanaweza wakawa wanaandika Very Good au Well done.
Huuh Lizzy usinambie mlikuwa mnakusanya madaftari na kuandikiwa Verry Good, Excellent, Keep it up, ? :tongue:
Siunajua tena St. Kayumba. Na mwisho wa mwaka lazima mtu uende mbele ya wanafunzi wote kujinyakulia daftari zako, penseli, kalamu na rula ukishika namba 1 - 3. Sijui kama siku hizi wameacha. . . . .
That's the best way to learn. Sio unamsikiliza tu mwalimu, unakopi anayoandika na kukariri bila kujifunza. St. Kayumba mwl hata swali haulizwi labda kama unataka arudie mfano.Labda inaendelea.
Sie wengine shule kuanzia form one tulifundishwa "your opinion is what matters the most, not even the teachers'".
Ikitolewa assignment, siku ya pili inasahihishwa darasani kwa pamoja kwa mfumo wa tutorial vile, utajijua mwenyewe kama ulikuwa "very good" au "very bad"
:biggrin: