Mkosa hoja. . . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,770
59,105
Kauli za watu ambao wamekosa hoja hapa jamvini.

1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
10. Anakutisha na "do you know who I am?".
11. Anakwambia yeye ana pesa/amesoma sana.
12. Ataingiza dini/ kabila/ muonekano wako (japo haujui)
13. Atakwambia alichoandika kimekugusa.
14. Anaanzisha thread nyingine ya kulalamika.
. . . . . .
 
Kauli za watu ambao wamekosa haja hapa jamvini.

1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .

. . . . . .

samahani lizzy mimi napita tu,....sio kwamba nimekosa hoja lakn
 
tatizo hapa jamvini wengi wanataka kila mtu akubaliane au wengi wa wam support alicho
kiandika. na ukiienda kinyume na hapo ndo mambo yanabadiliaka na mtu anaanza kujifanya
anakujua ...tena anakwambia live "Tengeneza njia yako" .. Tukubaliane tu kila mtu ni tofati
na mawazo tofauti.. wote tukiwaza na kukubaliana kila jambo itakuwa "boring sana" weekend njema bana ...
 
watu humu ni funny......lol

to agree to disagree ni kitu kigeni kwa baadhi ya watu....
 
Hunijui, sikujui achana na mimi - source Lizzy & The Finest (Promoter: kongosho)
 
wengine watakushambulia kisa umetofautiana nao

wengine wataingiza udini au ukabila, loh!
 
lakini, hata mtu akikujibu vibaya, nalo ni jibu.
Ni kupotezea tu, ukilibeba sasa hapo tatizo.
 
Seriously wanakera mnoooo....!! Mwingine anaku-judge kwa kile ulicho-comment,wakati hili ni jamvi huru u put your idea openly so long as it doesnot offend anybody...au utakuta mtu anapayuka kwa matusi na ku-take things too personal mwisho wa siku akipewa ban,anakuja kuanzisha uzi wa kuonewa..#Nonsense.

Personally,i dont care..mtu akijibu ushuzi mi namjibu anachostahili lakini sio ushuzi..
 
My new found friend, how are you today?
 
Mwingine utamuona anajisifia ooh mimi nina pesa, oo sijui my understanding capacity ni kubwa, mara ooh limekutouch.........dah!!

Yeahh that too. . .
Sasa sijui hizo pesa zinapunguza udhaifu wa hoja yake au inakuaje.
 
lakini, hata mtu akikujibu vibaya, nalo ni jibu.
Ni kupotezea tu, ukilibeba sasa hapo tatizo.

Hamna cha kupotezea wala nini, akileta pumba unamuongezea mashudu asiondoke bila kitu.
 
Seriously wanakera mnoooo....!! Mwingine anaku-judge kwa kile ulicho-comment,wakati hili ni jamvi huru u put your idea openly so long as it doesnot offend anybody...au utakuta mtu anapayuka kwa matusi na ku-take things too personal mwisho wa siku akipewa ban,anakuja kuanzisha uzi wa kuonewa..#Nonsense.

Personally,i dont care..mtu akijibu ushuzi mi namjibu anachostahili lakini sio ushuzi..

Mtu humuoni, hakuoni lakini anadhani uko hapa kumkosesha yeye raha au kupambana nae. Kama mtu hapendi/kujadiliana ni vizuri akawa mtazamaji tu ili asisumbuliwe na mtu.
 
Back
Top Bottom