Mkoa wa Kagera unakuwaje masikini wa kutupwa na una kila kitu?

Kimsingi huo umasikini mnaousemea mkoa wa Kagera ni wa kufikirika. Mkifika kule mkaona mijengo ilivyo na hali ya watu ilivyo ndo mtakasirika zaidi
Eze ngata tizina magezi ,sema tu kila mda wanawaza wahaya sijui wanashindwa nini kuendeleza hili taifa kama kweli wanawazidi wahaya
 
Hakuna mhaya maskini acha habari zenu za hovyo.Wahaya ni sehemu ndogo ya mkoa wa kagera kama hiyo habari ulikuwa hujui.

Mkoa wa kagera una makabila yafuatayo:Wanyambo(wenyeji wa Karagwe),wasubi(wenyeji wa Biharamulo) wahangaza(wenyeji wa Ngara).

Nitajie sehemu yoyote ukiondoa hii miji na mkoa wa Kilimanjaro ambao watu wake kijijini wa na makazi bora kama sio kwa wahaya tu.

Nimekaa karibu sehemu zote hapa Tanzania ila ukitoka tu mjini huko kijijini ni hatari tupu

Si unaona tabia za Kihaya, ndio tabia hizi nasemea, afadhali umedhibitisha nilichokisema.. Report inasema Mkoa wa Kagera ni maskini mno, yaani maskini haswa, kabila moja wapo ya mkoa wa Kagera ni wahaya, na ndio wengi, sasa sbb ww ni mhaya tayari ushaanza tabia zenu, hizi ndio tabia zinawaletea umaskini, ujuaji kupindukia, of which hamjui vitu vingi vizuri..

Yaani unabishana hadi na research, wakati ww huna research yoyote, hii ndio tabia ya wahaya, wabishi sugu.

Mnabishana kila siku, mnasomesha wanasheria tu, sbb mnapenda kubishana sana, kutwa kucha, siku, miezi, miaka, kubishana tu, ujuaji kupindukia.
 
Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia.

So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu.

Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?

Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Swali lako linaenda mbali zaidi, Africa ina rasilimali kibao kwa nini ni masikini.
Anyway, kuna tatizo la wahaya waioendelea kutorudi nyumbani kuwekeza au kuboresha maisha ya kwao ukilinganisha kwa mfano na wachaga.
Dar ndiko kwenye wahaya wengi na distance inafanya wao kutotembelea makwao mara kwa mara.
Mwisho, wahaya wanatishwa sana na ushirikina kuogopa kufanywa vibaya hivo wakishachuma hawarudishi nyumbani.
Nilianza kutafiti hali hii kitambo kidogo.
 
Siku Kagera wakijitambua wakakata kamba kwenda Uganda au Rwanda Kagera itakuwa mfano wa kuigwa. Waganda na Wanyarwanda wanajua vizuri umuhimu wa mkoa wa Kagera kwa chumi zao. Watanzania bado tumapambana na watu wenye maendeleo kuliko kujifunza toka kwao
 
Si unaona tabia za Kihaya, ndio tabia hizi nasemea, afadhali umedhibitisha nilichokisema.. Report inasema Mkoa wa Kagera ni maskini mno, yaani maskini haswa, kabila moja wapo ya mkoa wa Kagera ni wahaya, na ndio wengi, sasa sbb ww ni mhaya tayari ushaanza tabia zenu, hizi ndio tabia zinawaletea umaskini, ujuaji kupindukia, of which hamjui vitu vingi vizuri..

Yaani unabishana hadi na research, wakati ww huna research yoyote, hii ndio tabia ya wahaya, wabishi sugu.

Mnabishana kila siku, mnasomesha wanasheria tu, sbb mnapenda kubishana sana, kutwa kucha, siku, miezi, miaka, kubishana tu, ujuaji kupindukia.
Kwahiyo katika hiyo research Kagera ndio mkoa wenye maskini tu?je hiyo research imeonyesha tatizo ni ubishi au ujuaji wa wahaya kama unavyosema?

Ukiachana research ambazo ziko published na zinafata hizo formalities za research,ukweli unabaki kuwa hakuna mhaya maskini.Kagera unaweza kuwa mkoa maskini lakini sio wahaya sawa.

Kingine ni kwamba hizo research kafanya nani?hawa watu ambao wamejua kuandika a,e,i,o,u juzi ndio wanasema wahaya maskini?don't bring these nonsensical research as a back up for your claims.Again,research isn't for poor people only those who are financially stable as we are can research.So,wait until we publish our own research.

Thank you brother,Happy easter day!
 
Hivi bado soko kuu Bukoba siku ya jumapili linafungwa mchana?

Bukoba ikifika saa mbili kamji kanakuwa kimyaaa

Mpaka wa Mutukula ni waganda ndio wanaunogesha

Kagera Kuna ardhi nzuri sana, kwa mfano misenji ni tatizo uvivu

Kuna biashara ukianzisha na usipokuwa wa kwao utapata tabu

Stendi ya Bukoba ni aibuu mvua ikinyesha

Mzunguko wa pesa ni mdogo sana Kagera, tuliwahi kuishi Karagwe kwa miezi minne, umaskini tuliokutana NAO ni mkubwa sana.

Q bar sijui bado ipo?

Halmashauri Haina root za hiace....

Wenyeji kuuza ardhi ni wagumu sana

Niliwahi kwenda Bugabo nusura niliwe
Dah umenifurahisha sana na kunikumbusha mengi .

Q bar ipo maana kuna rafiki yangu kanipa taarifa za yeye kwenda hapo wiki sita nyuma japo limekuwa danguro sana .

Bugabo , eti wachawi sana , nakumbuka mwaka 200.. nikiwa mtumishi huko tulienda huko bugabo niliwahi pigwa mkwara mzito na mganga mmoja anaitwa Kabalimu nikajihisi pilton kisa amezingua nikamzingua akanipandishia kibesi .

Bukoba na kilimo hasa mjini ni uongo watu wake ni wavivu ila pia ni wabinafsi na watu wasioamini kwenye hustling ila elimu tu bila kujua zama zimebadilika .

Ta rushanju sorry kwa haya japo sikatai kuwa karagwe sio wahaya na karagwe wanapiga kazi sababu karagwe ndiyo inailisha bukoba mjini na sehemu zingine .

Mtukula pazuri kwa tamaa za wanaume ila pamezorota kwa wenyeji , waganda wapo mbele ya mda .

Sio soko tu kuwa linafungwa yaani hata maduka yanafungwa siku ya jumapili .
 
Eti soko la Bukoba ni baya Mara stand Mbaya... Nyie mikoa yenu stand na masoko mlijijengea wenyewe? Huku Kijichi tumejenhewa soko na world Bank lkn tunalikimbia. Stand pia tumejengewa Kijichi lkn hatuhitaji. Bukoba mnawatukana na kuwabeza mnataka wajijengee stand. Wajijengee soko? Nadhani hata hiyo barabara ya lami imejengwa kwasababu ya Uganda
 
Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia.

So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu.

Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?

Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Uswahili ukiingia mahala, usitegemee Maendeleo.

Ndugu zetu tabora nao wamepatwa.
 
Mtausema sana huu mkoa. Watanzania mna roho ya kwanini.
Mkoa unatoa wasomi sana lkn mliweuwekea passmark za juu sana. Wahaya walikimbilia mikoa mingine kutafuta elimu. Kuna wahaya Wana majina mpaka ya Kimasai. Wakati wagogo wakirudisha namba za mitihani wao wameshinda hata Kama hawakuandika chochote. Kagera ilikuwa na shule nyingi miaka ya sabini kuliko mikoa mingi lkn walijaa makabila mengine tena wenye passmark kdg. Kisa NYERERE HAKUWAPENDA NA ALISEMA HAKUNA MHAYA KUWA RAIS. Mambo mengi yaliyofanywa tangu nyuma ndiyo yanaonekana leo. Na mpaka sasa bado mnawachukia hawa wahaya. Kama mnakubali kuwa wameelimika na elimu.ni ufunguo wa maisha, kwanini hawa wahaya wasifunguliwe maisha?
Kwaiyo hayo uloyaorodhesha kwa kijikakamua ndo umeona ni majibu sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Kagera wanashindwa kuishi na makabila mengine na wakiishi wenyewe wanabaguana huyu mziba huyu muhangaza huyu mnyambo nk hata wakiwa nje ya mkoa wao ni wabaguzi sanaa stand kuu ya mabasi ilitakiwa inengww tangu Kikwete lakinj ubaguzi wa sehemu ya kujenga ukiketa ugomvi kagasheki na kalumna mpaka leo pesa zinarudishwa vilevile soko hawa watu hawafai kuwa Watanzania wanaishi kama wanyama hawapendani ni wabaguzi wivu mkubwa kila mtu anataka yeye awe kinara ajulikane huwezi kuendelea kwahali hiyo kwanza wao kama wakaazi wazaliwa wenye mkoa wao wajitambue maana hata Daktari au mwalimu hataki kufanya kazi bukoba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mtausema sana huu mkoa. Watanzania mna roho ya kwanini.
Mkoa unatoa wasomi sana lkn mliweuwekea passmark za juu sana. Wahaya walikimbilia mikoa mingine kutafuta elimu. Kuna wahaya Wana majina mpaka ya Kimasai. Wakati wagogo wakirudisha namba za mitihani wao wameshinda hata Kama hawakuandika chochote. Kagera ilikuwa na shule nyingi miaka ya sabini kuliko mikoa mingi lkn walijaa makabila mengine tena wenye passmark kdg. Kisa NYERERE HAKUWAPENDA NA ALISEMA HAKUNA MHAYA KUWA RAIS. Mambo mengi yaliyofanywa tangu nyuma ndiyo yanaonekana leo. Na mpaka sasa bado mnawachukia hawa wahaya. Kama mnakubali kuwa wameelimika na elimu.ni ufunguo wa maisha, kwanini hawa wahaya wasifunguliwe maisha?
Akili ya samaki hii wasomi wameusaidiaje huo mkoa ukiwemo wewe nyie ni wabaguzi hamwezi kuishi na binadamu wengiine mkiletewa Wataalam mnawaletea majungu mkiwa wenyewe mnabagua ofisi haziendi kukwamishana tuu jirekebisheni mkoa usonge mbele kama mna Wasomi hawasaidii kitu hao sio wasomi ni WAKORA

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Watu wa Kagera wanashindwa kuishi na makabila mengine na wakiishi wenyewe wanabaguana huyu mziba huyu muhangaza huyu mnyambo nk hata wakiwa nje ya mkoa wao ni wabaguzi sanaa stand kuu ya mabasi ilitakiwa inengww tangu Kikwete lakinj ubaguzi wa sehemu ya kujenga ukiketa ugomvi kagasheki na kalumna mpaka leo pesa zinarudishwa vilevile soko hawa watu hawafai kuwa Watanzania wanaishi kama wanyama hawapendani ni wabaguzi wivu mkubwa kila mtu anataka yeye awe kinara ajulikane huwezi kuendelea kwahali hiyo kwanza wao kama wakaazi wazaliwa wenye mkoa wao wajitambue maana hata Daktari au mwalimu hataki kufanya kazi bukoba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wahaya wanapambana wapate stendi na soko, sawa, lakini hivi havitaondoa gepu ya uchumi wa kahawa, hasa Bukoba mjini.

Wilaya zinazofanya vizuri ni Kyerwa, Kuna kahawa na mifugo, Karagwe, Kuna mifugo na kahawa, Muleba, Kuna uvuvi na kawaha na ufugaji.

Bukoba mjini itaendelea kiwa masikini wa kutupwa.
 
Watu wa Kagera wanashindwa kuishi na makabila mengine na wakiishi wenyewe wanabaguana huyu mziba huyu muhangaza huyu mnyambo nk hata wakiwa nje ya mkoa wao ni wabaguzi sanaa stand kuu ya mabasi ilitakiwa inengww tangu Kikwete lakinj ubaguzi wa sehemu ya kujenga ukiketa ugomvi kagasheki na kalumna mpaka leo pesa zinarudishwa vilevile soko hawa watu hawafai kuwa Watanzania wanaishi kama wanyama hawapendani ni wabaguzi wivu mkubwa kila mtu anataka yeye awe kinara ajulikane huwezi kuendelea kwahali hiyo kwanza wao kama wakaazi wazaliwa wenye mkoa wao wajitambue maana hata Daktari au mwalimu hataki kufanya kazi bukoba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna wakati nilikuwa na issue fulani Mkoa wa Kagera, asilimia kubwa ya wahaya wakawa wananiambia wao sio watu wazuri, na kwamba Wana fitna, na kwamba nikitoka Kagera salama nishukuru Mungu.

Tatizo jingine ni ardhi, ardhi yao ni ya ukoo, hawaachii ardhi. Sasa wageni watafikaje? Kanunue nyumba, utakutana na msafara wa kesi mpaka the Heague.

Kama una duka au biashara, hujui kihaya, imekula kwako.
 
Hakuna mhaya maskini acha habari zenu za hovyo.Wahaya ni sehemu ndogo ya mkoa wa kagera kama hiyo habari ulikuwa hujui.

Mkoa wa kagera una makabila yafuatayo:Wanyambo(wenyeji wa Karagwe),wasubi(wenyeji wa Biharamulo) wahangaza(wenyeji wa Ngara).

Nitajie sehemu yoyote ukiondoa hii miji na mkoa wa Kilimanjaro ambao watu wake kijijini wa na makazi bora kama sio kwa wahaya tu.

Nimekaa karibu sehemu zote hapa Tanzania ila ukitoka tu mjini huko kijijini ni hatari tupu
Pls usilinganishe mimba na Kitambi muhaya Kilimanjaro umefika au hata kupita?? Kagera hata stand ya mabasi hakuna chuo Kikuu hata kimoja hakuna unabishana kwa kututajia makabila so what?? Yamesaidiaje mkoa kutoka kwenye umaskini uliotopea ??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo katika hiyo research Kagera ndio mkoa wenye maskini tu?je hiyo research imeonyesha tatizo ni ubishi au ujuaji wa wahaya kama unavyosema?

Ukiachana research ambazo ziko published na zinafata hizo formalities za research,ukweli unabaki kuwa hakuna mhaya maskini.Kagera unaweza kuwa mkoa maskini lakini sio wahaya sawa.

Kingine ni kwamba hizo research kafanya nani?hawa watu ambao wamejua kuandika a,e,i,o,u juzi ndio wanasema wahaya maskini?don't bring these nonsensical research as a back up for your claims.Again,research isn't for poor people only those who are financially stable as we are can research.So,wait until we publish our own research.

Thank you brother,Happy easter day!
Kashakuja Themistocles Rugumamu kingereza kiingi Wazee wako wafwaaaa maweeee

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mtausema sana huu mkoa. Watanzania mna roho ya kwanini.
Mkoa unatoa wasomi sana lkn mliweuwekea passmark za juu sana. Wahaya walikimbilia mikoa mingine kutafuta elimu. Kuna wahaya Wana majina mpaka ya Kimasai. Wakati wagogo wakirudisha namba za mitihani wao wameshinda hata Kama hawakuandika chochote. Kagera ilikuwa na shule nyingi miaka ya sabini kuliko mikoa mingi lkn walijaa makabila mengine tena wenye passmark kdg. Kisa NYERERE HAKUWAPENDA NA ALISEMA HAKUNA MHAYA KUWA RAIS. Mambo mengi yaliyofanywa tangu nyuma ndiyo yanaonekana leo. Na mpaka sasa bado mnawachukia hawa wahaya. Kama mnakubali kuwa wameelimika na elimu.ni ufunguo wa maisha, kwanini hawa wahaya wasifunguliwe maisha?
Achana na story za vijiweni, mada inataka kujua ni kwa nini unakua mkoa masikini kila list inapotangazwa
 
Back
Top Bottom