oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
kulikua na wakinga sita walikua wakitoka makete kuelekea irnga mjini..sasa wakati wakitaka kupanda gari ilibidi wajihesabu ili isiwasumbue kwenye nauli pia ili wahakikishe kama wapo wote sita...Mahenge akaanza kuhesbu (lafudhi ya kikinga hapo)1,2,3,4,5 khakha bee mbona 2likua siitaa mwenztu yuko waapii?(hapo hajajihesabu yeye) akaendelea kusema jamani nani tumemuacha? akamwita Sanga na kumwambia arudie kuhesabu..sanga nae 1,2,3,4,5, (kwa lafudhi ya kikinga)khakha bee mbona 2po watanoo mwenzetu yuko wapi?nae alijisahau kujihesebu..wakabaki wakijiuliza tuu ni nani wamemuacha