mkinga sasa

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
kulikua na wakinga sita walikua wakitoka makete kuelekea irnga mjini..sasa wakati wakitaka kupanda gari ilibidi wajihesabu ili isiwasumbue kwenye nauli pia ili wahakikishe kama wapo wote sita...Mahenge akaanza kuhesbu (lafudhi ya kikinga hapo)1,2,3,4,5 khakha bee mbona 2likua siitaa mwenztu yuko waapii?(hapo hajajihesabu yeye) akaendelea kusema jamani nani tumemuacha? akamwita Sanga na kumwambia arudie kuhesabu..sanga nae 1,2,3,4,5, (kwa lafudhi ya kikinga)khakha bee mbona 2po watanoo mwenzetu yuko wapi?nae alijisahau kujihesebu..wakabaki wakijiuliza tuu ni nani wamemuacha
 
hao sio wakinga... wakinga hawana bee, wana gwee,
hao ni wabena tena hapo stendi kazi kucheza draft tu kutwa nzima.
 
Haha ha ah aha ha ha ah ha ahah a a ahah aha, :lol::lol::lol:Huo sasa ugonjwa huo
 
Back
Top Bottom