unamfata mkewe, unamueleza kuwa umemzimikia mumewe.....
then muombe mke ruhusa ya kuomba 'urafiki' na mume wake.
Akishakuruhusu kajilipue kwa huyo mwanaume.
Dada zangu itokeapo umempenda kijana nae ana mke, mnafanya nini?
Mume wa mtu si vyema kutumbua nae. Waweza kuumbuka. Punde atakapo kuchoka, atakuacha kwenye mataa. Utakuwa huna pa kukimbilia. Unless..........!!!!!! Unless ......!!!!!!!!!! Unataka kuolewa nae.
Na hivyo pia utakuwa mke mdogo. Are you willing to live small allways? Buckle up and look for a handsome, single guy and try your luck. Good luck.
Mbona simple tu........mfate alafu umwambie kuwa umempenda!!
hivi kwana, mnapowapenda wake za watu mnawafanya nini vile?
......Kwa nini hupende mume wa mtu? Huoni kinyaa kushare penzi?
Dada zangu itokeapo umempenda kijana nae ana mke, mnafanya nini?
Kinachofuata?
Nikiwa kama mdada, kiumbe anayejulikana ni mume wa mtu sina muda nae kabisa&hujiepusha nao kabisa unless kanidanganya ambayo itakuwa ngumu maana mimi due diligence niifanyayo ni ya maana kabla sijawa kimapenzi na mtu.
Tatufa saizi yako, achana na kaka wa watu alee ndoa yake. Atakuzingua, akuvue chupi wewe ubaki na mawazo unampenda&anakupenda wakati yeye hayupo huko kabisaa. Zuia hiyo tamaa yako!
Ndio hivo. Maana mtu anaweza kua na hisia za juu kwa juu lakini anajikataza kuziruhusu kuendelea hadi kufikia kiwango cha mapenzi.Mimi nadhani ni kutamani zaidi na si mapenzi.