Mkimpenda mume wa watu mnafanya nini?

unamfata mkewe, unamueleza kuwa umemzimikia mumewe.....

then muombe mke ruhusa ya kuomba 'urafiki' na mume wake.

Akishakuruhusu kajilipue kwa huyo mwanaume.

Big up, iwapo hilo linawezekana ktk mazingira ya dunia ya leo. Otherwise ni jibu tosha kwa muulizaji.
 
Mume wa mtu si vyema kutumbua nae. Waweza kuumbuka. Punde atakapo kuchoka, atakuacha kwenye mataa. Utakuwa huna pa kukimbilia. Unless..........!!!!!! Unless ......!!!!!!!!!! Unataka kuolewa nae.

Na hivyo pia utakuwa mke mdogo. Are you willing to live small allways? Buckle up and look for a handsome, single guy and try your luck. Good luck.
 
here again, a virgin in a maternity ward.

We unafikiri anafanywa nini?
 
Mume wa mtu si vyema kutumbua nae. Waweza kuumbuka. Punde atakapo kuchoka, atakuacha kwenye mataa. Utakuwa huna pa kukimbilia. Unless..........!!!!!! Unless ......!!!!!!!!!! Unataka kuolewa nae.

Na hivyo pia utakuwa mke mdogo. Are you willing to live small allways? Buckle up and look for a handsome, single guy and try your luck. Good luck.

Ziko wapi nguvu zenu za kushinda mpambano na kutoka mshindi? Maisha ni mapambano na usipopigania nafsi yako utakuwa nyuma siku zote!
 
......Kwa nini hupende mume wa mtu? Huoni kinyaa kushare penzi?

Kwani si huwa tuashare mate huku tukijuwa kila mtu anakula chakula tofauti(pengine panya au konokono)? Hivyo mapenzi yanajali hayo?
 
Dada zangu itokeapo umempenda kijana nae ana mke, mnafanya nini?

Nikiwa kama mdada, kiumbe anayejulikana ni mume wa mtu sina muda nae kabisa&hujiepusha nao kabisa unless kanidanganya ambayo itakuwa ngumu maana mimi due diligence niifanyayo ni ya maana kabla sijawa kimapenzi na mtu.

Tatufa saizi yako, achana na kaka wa watu alee ndoa yake. Atakuzingua, akuvue chupi wewe ubaki na mawazo unampenda&anakupenda wakati yeye hayupo huko kabisaa. Zuia hiyo tamaa yako!
 
Nasikia mapenzi hayaoni! Hili nalo vipi?
 
Mimi nadhani ni kutamani zaidi na si mapenzi.
Ndio hivo. Maana mtu anaweza kua na hisia za juu kwa juu lakini anajikataza kuziruhusu kuendelea hadi kufikia kiwango cha mapenzi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom