Mkeo/mpenzio afanyeje ukubali.....

ishu ni kwamba vipimo VIKIKOSEWA

Hapa sasa ndo kwenye utata lakini wanasema unapewa ushauri nasaha hata vikikosewa utakuwa umepewa ushauri nasaha unaweza kukabiliana na majibu uliyo pewa na wataalamu.
 
Hili ni Tatizo la nunu kwa nusu...............kwa nini tulazimishane na tuleteane uwanaharakati hapa?

hii kitu si inaitwa VCT..Voluntary? sasa mnataka iwe lazima.
 
Hii ishu wa wanaume kuruka kimanga.inanikumbusha wakati fulani wataalamu walikuja kanisani kwetu wakahamasisha watu wakapime.Watu walikuja kanisani na familia zao - baba, mama na watoto. Baada ya uhamasishaji kilichotokea ni wakina mama na watoto ndio walioongoza kwenda kupima.Wakina baba wakaelekea kwenye magari yao wakaenda kuwasubiri wamama na watoto wapime! Ilikuwa aibu maana maswali yaliyojitokeza dhahiri ni kuwa wakina baba hawakwenda kupima kwanini???
ingekuwa ni wewe wanao na mke wameenda kupima wewe ukasubiri kwenye gari - ungewaangaliaje wanao mkiwa mezani? wakianza kukuuliza baba kwanini hukuja kupima ungejibu nini?
.
Wanawake wanakurupuka sana kwenye mambo ya jumla jumla. Ndio maana hata kwenye makanisa ya vichochoroni ndio wamejazana huko, kwenye mikopo, kwenye mazishi, kwenye NGOs. Wanaume wako tofauti kipsychologia. Wanapima risk na matokeo yake kwanza. Hata mtoto wa kiume anachelewa kutembea kwa sababu hataki kurisk kuanguka.
 
Another dimension..asante japo its too general.Sitaku kuamini kuwa kwenye DECI walikuwa wanawake tu.
Sitaki kuamini kuwa waliokufa kule kwa Kibwetere walikuwa wanawake tu.Nasita kuamini kuwa waliokuwa kwenye cults deaths kule Jonestown - Guyana walikuwa wanawake tu! I could go on and on - hadi kwa akina Kakobe, na wengineo
 
nilishawahi kupima na my nanihii wangu, kwa kulazimishwa hivihivi.
majibu yakawa swafi, lakini hiyo ndo ikawa issue sasa, akaona mbona nilikuwa siogopi kupima?
badala ya kufurahi tupo safi, yeye akanuna kwamba labda yule aliyekuwa anam-suspect kuwa ninammega nilikuwa nina uhakika kwamba yupo safi, na labda tulishapima naye, that means nilikuwa sina mpango wa kumuacha.
 
Wanawake wanakurupuka sana kwenye mambo ya jumla jumla. Ndio maana hata kwenye makanisa ya vichochoroni ndio wamejazana huko, kwenye mikopo, kwenye mazishi, kwenye NGOs. Wanaume wako tofauti kipsychologia. Wanapima risk na matokeo yake kwanza. Hata mtoto wa kiume anachelewa kutembea kwa sababu hataki kurisk kuanguka.
Another Great thinker.
 
Another dimension..asante japo its too general.Sitaku kuamini kuwa kwenye DECI walikuwa wanawake tu.
Sitaki kuamini kuwa waliokufa kule kwa Kibwetere walikuwa wanawake tu.Nasita kuamini kuwa waliokuwa kwenye cults deaths kule Jonestown - Guyana walikuwa wanawake tu! I could go on and on - hadi kwa akina Kakobe, na wengineo
WOS hivi title ya hii thread inasemaje?

Tuendelee..............:D:D!!!!!!
 
Hujawahi kufiwa hasa na uwapendao.kama ushawahi kufiwa basi hujawahi kupenda.
 
Another dimension..asante japo its too general.Sitaku kuamini kuwa kwenye DECI walikuwa wanawake tu.
Sitaki kuamini kuwa waliokufa kule kwa Kibwetere walikuwa wanawake tu.Nasita kuamini kuwa waliokuwa kwenye cults deaths kule Jonestown - Guyana walikuwa wanawake tu! I could go on and on - hadi kwa akina Kakobe, na wengineo

WOS,

Acha kuwashika watu pabaya. Naomba na mimi nisema (kwa uwazi na kweli tena) kwamba chipimi wala chitaki kwenda eti huko mnaita ANGAZA. Kwani body language (symptoms) inaonesha kuwa tayari niko kwenye grid? Nothing is done without a reason.

Sijawahi na sipimi, labda kama ni kwa sababu za kisiasa kama akina JK.
 
WOS hivi title ya hii thread inasemaje?

Tuendelee..............:D:D!!!!!!

title inahusu kupima.... ila kuna mchangiaji kasema wanawake wanapenda kufuata mkumbo kwenye mambo ya jumla jumla....wakati wanaume wanapenda kwanza kufanya risk assessment... i think s/he was refering to my eg kuhusu kupima kanisani baada ya uhamashishaji....
 
Wanawake wanakurupuka sana kwenye mambo ya jumla jumla. Ndio maana hata kwenye makanisa ya vichochoroni ndio wamejazana huko, kwenye mikopo, kwenye mazishi, kwenye NGOs. Wanaume wako tofauti kipsychologia. Wanapima risk na matokeo yake kwanza. Hata mtoto wa kiume anachelewa kutembea kwa sababu hataki kurisk kuanguka.
Hivi kile kibatani cha ziii lini kitawekwa?
modeeeeeeeeeeeeee,! do ze needful tafadhali kuna watu wanakurupuka sana kutoa maelezo bila research.
Tena ngoja nikuwekee kwa hapa;ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Mi hapa naunga mkono hoja ya WoS

Nakubaliana na hoja za AK47 (shemegi), SMU, Mhili na hommie aliyejibadili jina sijui birigita or whatever)

naomba kuwasilisha
 
title inahusu kupima.... ila kuna mchangiaji kasema wanawake wanapenda kufuata mkumbo kwenye mambo ya jumla jumla....wakati wanaume wanapenda kwanza kufanya risk assessment... i think s/he was refering to my eg kuhusu kupima kanisani baada ya uhamashishaji....
OK. Sasa turudi kwenye mada.
Msome Dark City vizuri hapo! Nakwambia msome vizuri! Sawa?
 
WOS,

Acha kuwashika watu pabaya. Naomba na mimi nisema (kwa uwazi na kweli tena) kwamba chipimi wala chitaki kwenda eti huko mnaita ANGAZA. Kwani body language (symptoms) inaonesha kuwa tayari niko kwenye grid? Nothing is done without a reason.

Sijawahi na sipimi, labda kama ni kwa sababu za kisiasa kama akina JK.
hahahah..hajashikwa mtu pabaya...
utasubiri symptoms ndio upime? faida yake itakuwa nini kama virusi vimesha graduate to AIDS?..UNAKUMBUKA METHALI YA USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA?
 
Back
Top Bottom