Poleni sana
Wanawake wachache sana wana upuuzi wa kufatilia wanaume zao.Hii ipo two side.
Tena kwa wanawake ndio wanateseka zaidi kwa sababu Mwanamke aki-cheat sharti ajifiche
Wanawake wachache sana wana upuuzi wa kufatilia wanaume zao.
Kujificha watajificha na kuchepuka kuko pale pale.
Mwanaume ndo anapata maumivu zaidi
UKitaka kujua nani anaumia zaidi angalia reaction zao baada ya kusalitiwa.Aliyekuambia mwanaume ndiye anayepata maumivu zaidi ni nani Mkuu?
Mwenye upendo zaidi ndiye atakayeumia zaidi i
Hakika mwenye upendo zaidi ndiye atakayeumia zaidi, nakubali.Aliyekuambia mwanaume ndiye anayepata maumivu zaidi ni nani Mkuu?
Mwenye upendo zaidi ndiye atakayeumia zaidi i
Personality ndiyo Ina determine reaction ya mtu, nitofauti na maumivu.UKitaka kujua nani anaumia zaidi angalia reaction zao baada ya kusalitiwa.
UKitaka kujua nani anaumia zaidi angalia reaction zao baada ya kusalitiwa.
Sio kweliMimi naonaga reactions zipo sawasawa ikiwa walipendana.
Sema unachojaribu kukieleza hapa ni kuwa Wanawake wengi huingia kwenye ndoa na mahusiano wakiwa hawana upendo kwa wenza wao.
Hiki ndicho unachoeleza
Sio kweli
Ni kwasababu wajibu wa kupenda ni wa mwanaume, mwanamke anapaswa kutii.Nakuambia.
Mwanaume hawezi kuoa Mwanamke asiyempenda.
Ila Wanawake wengi huoelewa hata na asiyempenda
Ni kwasababu wajibu wa kupenda ni wa mwanaume, mwanamke anapaswa kutii.
Kuna alliekua dem wangu aliolewa mwaka 2020 February najamaa mwenye maokoto kisa jamaa yuko tayari kumuoa, huku mm nikimwambia bado mipango yangu haijawa sawa asubuli , yeye akiona umri wake umekimbia ana 29 kipind hicho, akanipa sababu za msingi za yeye kuolewa ingawa niliumia sana maana kweli nilimpenda, ikabidi tu aolewe.Mimi naonaga reactions zipo sawasawa ikiwa walipendana.
Sema unachojaribu kukieleza hapa ni kuwa Wanawake wengi huingia kwenye ndoa na mahusiano wakiwa hawana upendo kwa wenza wao.
Hiki ndicho unachoeleza
Kuna alliekua dem wangu aliolewa mwaka 2020 February najamaa mwenye maokoto kisa jamaa yuko tayari kumuoa, huku mm nikimwambia bado mipango yangu haijawa sawa asubuli , yeye akiona umri wake umekimbia ana 29 kipind hicho, akanipa sababu za msingi za yeye kuolewa ingawa niliumia sana maana kweli nilimpenda, ikabidi tu aolewe.
Lakini alikua akiniambia hajampenda jamaa lakini hana namna. Mimi nilijua tu ananifariji ili kipunguza maumivu yangu, lakini huwezi amini Kila akitoka huko alikoolewa na kurudi kwao DSM huwa ananitafuta nakutaka nimkaze lakini huwa namkwepa. Nanjia anayotumia kuwasiliana na Mimi ni through email tu.
Bahat mbaya alitoaga mimba yangu, lakini juzi hapa anadai anajuta maana hajabahatika kupata mtoto mpaka Sasa mwaka wa 3 na miezi na pia anasema Hana love najamaa kabisa. inawezekana ikawa ukweli ulisemalo.
ndo nimetoka mkuuuTwende kanisani mkuu
Mungu akutunze, akuepushe na yote mabaya na uwe mwenye heri na fanaka.ndo nimetoka mkuuu
amen amen na atutunze soteMungu akutunze, akuepushe na yote mabaya na uwe mwenye heri na fanaka.
Ndiyo maana umeambiwa mwanamke ana cheat kwa kulipa kusisa au ukaribu na mazoea, ukichunguza wake za watu wanatoka nje kwasababu ya kulipizanyakati hizi ukiomba game tu kwa mke wa mtu ata awe mstaarabu au pisi kali namna gani hachomoi, lazima akufanyie mpango ule mzigo.
hii huruma na roho safi isiyo na uchoyo imetoka wap?
na si lazima umpe mkwanja anakwambia tu andaa sehemu tulivu, tubia kadhaa, labda na kitrimotroo kiasi fulani na mafuta aina Fulani basi
ukiwa tayari umstue...