Mkeo au mchumbaako akitaka kuwasiliana na michepuko yake hutumia zaidi simu ya rafiki yake

Hii ipo two side.
Tena kwa wanawake ndio wanateseka zaidi kwa sababu Mwanamke aki-cheat sharti ajifiche
Wanawake wachache sana wana upuuzi wa kufatilia wanaume zao.
Kujificha watajificha na kuchepuka kuko pale pale.
Mwanaume ndo anapata maumivu zaidi
 
Wanawake wachache sana wana upuuzi wa kufatilia wanaume zao.
Kujificha watajificha na kuchepuka kuko pale pale.
Mwanaume ndo anapata maumivu zaidi

Aliyekuambia mwanaume ndiye anayepata maumivu zaidi ni nani Mkuu?

Mwenye upendo zaidi ndiye atakayeumia zaidi i
 
UKitaka kujua nani anaumia zaidi angalia reaction zao baada ya kusalitiwa.

Mimi naonaga reactions zipo sawasawa ikiwa walipendana.

Sema unachojaribu kukieleza hapa ni kuwa Wanawake wengi huingia kwenye ndoa na mahusiano wakiwa hawana upendo kwa wenza wao.
Hiki ndicho unachoeleza
 
Ni kwasababu wajibu wa kupenda ni wa mwanaume, mwanamke anapaswa kutii.

Nature haijui jambo hilo.
Hicho ulichoeleza ni maoni ya Watu fulani ambao wapo kama mimi na wewe.

Kwenye uhalisia, nature, Mwanamke anapenda kama ilivyo kwa mwanaume.
Mapenzi huhusisha hisia za Watu Wawili. Wote lazima wapendane ndio huitwa penzi
 
Mimi naonaga reactions zipo sawasawa ikiwa walipendana.

Sema unachojaribu kukieleza hapa ni kuwa Wanawake wengi huingia kwenye ndoa na mahusiano wakiwa hawana upendo kwa wenza wao.
Hiki ndicho unachoeleza
Kuna alliekua dem wangu aliolewa mwaka 2020 February najamaa mwenye maokoto kisa jamaa yuko tayari kumuoa, huku mm nikimwambia bado mipango yangu haijawa sawa asubuli , yeye akiona umri wake umekimbia ana 29 kipind hicho, akanipa sababu za msingi za yeye kuolewa ingawa niliumia sana maana kweli nilimpenda, ikabidi tu aolewe.

Lakini alikua akiniambia hajampenda jamaa lakini hana namna. Mimi nilijua tu ananifariji ili kipunguza maumivu yangu, lakini huwezi amini Kila akitoka huko alikoolewa na kurudi kwao DSM huwa ananitafuta nakutaka nimkaze lakini huwa namkwepa. Nanjia anayotumia kuwasiliana na Mimi ni through email tu.

Bahat mbaya alitoaga mimba yangu, lakini juzi hapa anadai anajuta maana hajabahatika kupata mtoto mpaka Sasa mwaka wa 3 na miezi na pia anasema Hana love najamaa kabisa. inawezekana ikawa ukweli ulisemalo.
 
Sio inawezekana. Huo ndio ukweli.
Donatila alishawahi kueleza hili hapa jukwaani
 
Kwa watu wenye akili kubwa kwa Dunia ya sasa mapenzi ni Upuuzi tu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
nyakati hizi ukiomba game tu kwa mke wa mtu ata awe mstaarabu au pisi kali namna gani hachomoi, lazima akufanyie mpango ule mzigo.

hii huruma na roho safi isiyo na uchoyo imetoka wap?

na si lazima umpe mkwanja anakwambia tu andaa sehemu tulivu, tubia kadhaa, labda na kitrimotroo kiasi fulani na mafuta aina Fulani basi

ukiwa tayari umstue...
Ndiyo maana umeambiwa mwanamke ana cheat kwa kulipa kusisa au ukaribu na mazoea, ukichunguza wake za watu wanatoka nje kwasababu ya kulipiza
 
Back
Top Bottom