FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,894
- 109,227
Katafute wa kuoana nae, zinaa mbaya.Mwambie aje kwangu hatajutia

Naona umeamua kumrudishia anayosemaga mwenyewesio unamchafuwa, ni unamchafua - shuleni ulienda kusomea ujinga
Mnunulie dhahabu kama anapendaMkuu ukisoma vizuri nalifanya yote hayo sikukurupuka. Fikiria hadi point ambapo Nampa mrejesho wa safari yangu pia nilikokwenda na yote niliyopata etc. It was not just to jump to sex. Kuhusu mawifi kumkoromea mbona hata siishi nao? Na kama wamemkoromea why asiniambie wakati namuuliza what's wrong?
usimusumbue kakunyima utamu piga kimya bro silence treatment ukimukomalia sana atakuona weak tafuta hata muchepuko mukule sijui unafeli wapi bro huitaji akili nyingi kushindana na mwanamke akili kidogo tuuhWana MMU,
Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.
Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church.
Niliporudi home nikala chakula na ndugu zangu tukawa tunaongea hadi jioni sana wakaondoka. Basi baadaye nikamfuata wife chumbani nikamueleza jinsi nilivyomu miss n.k cha ajabu nakuta kanuna tu from no where basi nikakaa naye nikawa naongea naye politely juu ya safari yangu na nikamuonesha returns zote nilizopata etc.
Baada ya chakula cha usiku tumekwenda kulala mwenzangu akaninyima unyumba tena kwa maneno ya kejeli na dharau fulani hivi na majibu ya mkato juu. Nilijaribu kuwa humble na kumuuliza wapi nimekosea lakini jibu lilikuwa hakuna tatizo lolote. Mwishowe alinijubu kuwa nisimsumbue nimuache alale. Ikabidi niwe mpole nilale yaishe.
Asubuhi ilinibidi niondoke tu kurudi kwenye mihangaiko yangu. Tangu siku hiyo hata leo hanitafuti wala chochote kile yupo kimya tu. Katika kuwaza waza nimeona kuwa pamoja na kuomba juu ya hali hii let me do my job and fulfill my part kama baba mwenye nyumba mengine niache kwa muda nione kama atajifunza au la. Sitachepuka kwani am done with michepuko pia sitamuomba unyumba for sometime. Asipojirudi kwa muda fulani nitapanga kuwaelezea baadhi ya ndugu zake kuhusu yeye ili wamwelekeze.
Swali langu ni Je, will that cure the problem? Wewe mwanaume/mwanamke ulishakumbwa na hali kama hii na je ulisolve vipi?
(Wanawake muwe makini sana na jinsi mnavyobehave kwenye ndoa zenu mnachangia sana wanaume kuchepuka bila kudhamiria na mnaharibu nyumba zenu kwa tabia kama hizi)
NB: Jisikie huru kuchangia chochote.
Kwa lengo la watu kujifunza tafadhali share nasi juu ya shida ilikua nini na ulitumia njia gani kutatua?Wana MMU,

Ni kawaida hayo! Wewe kuwa mpole tu atafunguka.Tena kwa staili hiyo uliyofanya ya kujifanya uko bize na mambo yako,atajileta tu.Mkuu ukisoma vizuri nalifanya yote hayo sikukurupuka. Fikiria hadi point ambapo Nampa mrejesho wa safari yangu pia nilikokwenda na yote niliyopata etc. It was not just to jump to sex. Kuhusu mawifi kumkoromea mbona hata siishi nao? Na kama wamemkoromea why asiniambie wakati namuuliza what's wrong?
Point taken home Mamndenyi ...Ukitoka safari jambo la kwanza ni kuingia bed room na kumwita mkeo then umkiss kiss
ufanye kimoja ndo uendelee na majukumu mengine, vinginevyo tunajuwa kuwa umelala
kwa mwanamke mwingine;
Dah!!!, FaizaFoxy upo??, Nimefurahi kuona comment yako
Hivi huwaga hamumii tukiwabaka??.mbake tu
Sio suluhisho.Ongeza mke wa pili joh
Kiburi kitamtoka tu huyo
.
Tafuta binti mmoja matata mweke ndani,
Inawezekana aiseeUtakuwa umemuharibia mipango yake na mchepuko wake kwa huo ujio wako
Najaribu kuwaza tu!