Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?

Mkeo anajaribu kukutoa analog akupele digital unakataa!
Ya nini ajifundishe manual af aendeshe automatic?
Magari mengi siku hizi ni automatic.
 
Mambo mengne humu sijui ni watoto ndio huwa wanayaleta au vipi.
Sasa hiki nacho ni kisa cha wewe kuleta humu kijadiliwe kweli,au lengo lako ni tujue kuwa una gari manual?
 
Mambo mengne humu sijui ni watoto ndio huwa wanayaleta au vipi.
Sasa hiki nacho ni kisa cha wewe kuleta humu kijadiliwe kweli,au lengo lako ni tujue kuwa una gari manual?

kuna mkanganyiko kwenye hii thread hahahahah watoto ni ngumu kuelewa
 
Back
Top Bottom