Mke wangu halali na mimi chumbani, analala na Housegirl. Msaada

your wife must be very proud of you!!!!!!!!!!
umefanana sana na mtu mmoja hivi.

Hata mimi mke wangu ako proud na mimi.... Japokuwa.... Anyway.

Akili za kuambiwa changanya na za mbayuwayu Source: Mwenyeji wa Obama Tanzania.

Umenionea wapi cacico? ukimwona mwambie nimemmisi mpk kikojoleo kimepinda.
 
Last edited by a moderator:
Nionavyo kwa maelezo yako hapo juu,kuna tatizo la mawasiliano,either ulitoka nje hata kama sio siku za karibuni mkeo amekumbuka na ndio maana ameamua kufanya hivyo.Cha kufanya kaeni chini nyinyi wawili,mlijadili jambo lenu kwa kina na umhakikishie mkeo kuwa hutakuwa naye tena yule uliye naye.Umhakikishie hili kwa mwonekano na vitendo,akikuangalia aone hilo ndani yako.Hakuna cha mimba wala nini,ni mbinu mojawapo ya kukukwepa.
 
TranceM,Je ukiomba akupe tunda kabala ya kwenga kwa housegirl anakubali?
Nimekuwa na tatizo hili kwa miezi mitano sasa. Nimejaribu kuvumilia lakini nimeshindwa.

Tumejaaliwa mtoto mmoja wa kiume na kwa sasa mke wangu ni mjamzito. Mke wangu baada ya kupata ujauzito miezi mitano iliyopita amenichukia sana na inafikia kipindi tunagombana sana tukiwa faragha na hadi kufikia uamuzi wa kwenda kulala kwenye chumba na housegirl.

Nimemuomba sana tulale wote chumbani lakini bila mafanikio so nikaamua kumchunia hadi hivi sasa huu ni mwezi wa tano. Je niendelee na msimamo huu wa kulala peke yangu na kama hapana je kuna madhara yoyote kutokana na hali hii? Msaada please.
 
Umeshasema mimba, them calm down na amini ni mapito. Mimba zina mambo mengi, saa nyingine unaweza kudhani mtu anafanya makusudi lakini si akili yake. vumilia, miezi minne iliyobaki si mingi.
 
Umeshasema mimba, them calm down na amini ni mapito. Mimba zina mambo mengi, saa nyingine unaweza kudhani mtu anafanya makusudi lakini si akili yake. vumilia, miezi minne iliyobaki si mingi.

Nashukuru sana Sal
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom