Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Hata kama haangalii porn hub elewa kuwa hii katuni wazalishaji wake hitumia technic hiyo katika uchoraji wao
Sasa kwa Nini, wazazi wanapenda watoto waangalie katuni, ?? Hatuoni Kama kuna michanganyiko ya vitu vya hovyo hovyo ndani yake...

Hasa hasa hii Karne , zitakuja katuni za ajabu ajabu sana kuhamashisha Mambo fulani ๐Ÿ™๐Ÿ™.
 
Na amnunulie mitoy ya katuni ...mito yote iwe ni mitoy ya katuni kila kona matoy kama 20 hivi ...hadi ring tone ya simu yako mwekee nyimbo za katuni....tafuta na XXX za katuni muwe mnaangalia pamoja ๐Ÿ˜
Pole sana mkuu, naona umelamba ban ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom