Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Tumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?
Acha kumchunguza Mkeo. Tena sahau simu yake. Kabla ya kumuacha jiulize je kwa Miaka hiyo 10 hujawah chepuka?

Kama hujawah muache.

Pili, hawezi kuwasiliana na Ex wake kama kweli umemtendea haki, unampenda na kumjali.

Huyo ni mali yako na usidanganywe humu ndani ukamuacha. Mke si wa kitandani tu. Mke ni hao watoto, na uzeeni.

Usitegemee atatokea Mke mwingine mzuri kama huyo. Mwite mkeo mweleze akutunzie heshima. Atakuelewa
 
Habari zenu Ndugu zangu,jamaa na marafiki zangu.

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno.ni mnyenyekevu,msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita Licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa

Mbona wanawake wengi kwa nn umng'ang'anie anaemtaka exwake
 
Acha kumchunguza Mkeo. Tena sahau simu yake. Kabla ya kumuacha jiulize je kwa Miaka hiyo 10 hujawah chepuka?

Kama hujawah muache.

Pili, hawezi kuwasiliana na Ex wake kama kweli umemtendea haki, unampenda na kumjali.

Huyo ni mali yako na usidanganywe humu ndani ukamuacha. Mke si wa kitandani tu. Mke ni hao watoto, na uzeeni.

Usitegemee atatokea Mke mwingine mzuri kama huyo. Mwite mkeo mweleze akutunzie heshima. Atakuelewa

Labda alimuoa bikra
 
Kuna vitu vingi sna baadh ya wanaume mkioa mnaviacha,Mpka mtu anawasilian na ex wake ndani hakuko salama,kunavitu umemss alafu kwako unachukulia poa,Kwa mwenzio haviko poa labda humkuni akakunika,labda humkojoz anavyotaka,unampa zawadi,unatoka nae mitoko y maana,Huna gubu?wengine kitu kidog ataongea miez 6 anaon bora awasilian na ex wake acheke,Kuacha mke sio tiba jiulize sehem gan umepwaya
 
Pole sana mkuu

Nilkuwa nagombana sana na ex wangu kwa tabia kama hiyo ya mke wako.

Cha msingi mpe muda ajitafakari ikiwezekana muache aende akarudiane nae labda bado wanapendana.
 
Unataka ushauri?kweli?mpe likizo isyokuwa na mwisho akajaribu maisha kwingine,take a break miaka kumi ni mingi sana kukaa na pasua kichwa.
 
Hakika wwe ni mchonganishi..................... Inabidi ukamatwe
Hakuna muda wa kubembelezana na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. A spade is a spade...not a very big spoon. Alimuonya mkewe 8 years ago ila mama bado kamaintain contact za nguvu. Kuna jambo zito.
 
Miaka 10 au 1? Hahaha hapo lazima unasaidiwa, mwambie awe anatoa na matumizi sasa.
Ushauri
Mwache aende kwao akawasiliane nae vzr, au mtege jamaa (x) as if wewe ni wife ujue atasemaje, mdanganye muonane alafu unialike tukamfumue marinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom