Mke wangu ananifumbia kwa nyimbo ya Baba Swalehe

Unafwatana na rafikiiii daily utadhan unabalehe.

Kumbe wewe ni baba vick,yeye mwenzako baba swaleh.

Acha kuishi kibachelor ndani ya nyumba utaleta maseke.

Hahaaa utakuwa unaangukia kwenye hivi virusi.

ya shule mtoto huyajui dingi...ratiba unayoijua n tungi na soka diing mahoka....
na bado una laini kumi na sim ikishikwa n ngumi napassword km lugha ya kihuni mda na mkeo haupat unachat upo kwenye group km 8 za whatsapp unachat vitu unavyoongea siyo smart et una mabebe kbao km mswati.
 
kweli we ni funza,ptuuuu

ni kitu cha kuongea hapa hicho? ina maana mkeo amekuona ----- hivyo mpk akuletee mambo ya mipasho ndani uoni kuwa umeona mwanamke wa uswailini huko kwenye vigodoro na mipasho. Sidhani kama kichwa chako kizima
 
Habari zenu wana MMU.

Baada ya mke wangu kugundua mimi ni mlevi wa mpira,yani kwa sasa nashindwa kumuelewa ana maana gani,wakati mahitaji yote.

Alhamisi niliporudi kutoka kazini,mke wangu aliniambia kuna nyimbo anaipenda inaitwa Baba swalehe,na akasema ina ujumbe sana,mimi nikaunga hoja.

ijumaa nimerudi home mida ya saa9 alasiri,nlivyofka tu,akaiweka hyo nyimbo,ikawa inajirudia had saa 12 jioni nlipoondoka.

Jumamosi niliporudi tena toka kazini baada ya salaam akaiweka nyimbo ya Baba swalehe,mpaka mda naondoka kwenda kuchek mpira.

Jana sijaenda kazini,tangu asubuhi akawa ameiweka hadi mda naondoka,niliporud baada ya salaam akaiweka tena.

Leo mida ya saa4 asubuhi mi nikiwa kazini akanitumia sms eti nimrushie nyimbo ya baba swalehe.

Kwa maelezo hayo,huyu mwanamke ana maana gani?
karibuni.
ashakujua kuwa una kibustan pemben huna cha mpira wala nini mpende mkeo kama akukatikii mauno vizuri muambie sio unaendekeza libeneke tulia na wako mkuu
 
[Intro]
Yeah!
Cheke, The Industry
Yeah.. (Nahreel On The Beat!)
[Verse 1]
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh!
Mwenzako baba Swalehe
Unajaza marafiki home
Utadhani una sherehe
Ya shule mtoto huyajui dingi
We ni soka tu kufatilia ligi
Mkeo unampa ahadi nyingi
Kama unamtongoza mwanafunzi aingie kingi
Chizi masoka
Ratiba unaojua huwa ni tungi na soka
Ratiba shule ya mtoto hujui, dingi mahoka
Na bado una line kumi na
Simu ikishikwa ni ngumi na
Password kama lugha ya kirumi na...
[Pre-Hook]
Muda na mkeo haupati
Uko kwenye group kama nane za Whatsapp unachat
Vitu unavyosema sio smart
Eti una mabebe kibao kama Mswati
[Hook - Nikki Wa Pili & Joh Makini]
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh!
Mwenzako baba Swalehe
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh!
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh!
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh!
Mwenzako baba Swalehe
[Verse 2]
Unatizama wanawake kuliko alama za barabarani
Eti baba, baba gani?!
Unabishana na mkeo kama uko na Shabani
Kwenye ujinga babarani
Na tendo ni furaha ya kudumu
Nashangaa baba furaha unalifanya kama jukumu
Na tena ushavuta mandumu
Mkeo kila siku yanamkuta magumu
Unazira zira sura umeikunja kakamaa
Kaka, kama upo kijiweni umechachamaa
Kaka, ndoa sio kijiwe
Ndoa chuo cha msamaha, kaka
Kaka, uko bize kila saa
[Pre-Hook]
Muda na mkeo haupati
Uko kwenye group kama nane za Whatsapp unachat
Vitu unavyosema sio smart
Eti una mabebe kibao kama Mswati
[Hook - Nikki Wa Pili & Joh Makini]
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh!
Mwenzako baba Swalehe
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh!
Acha kuishi kibachelor
Ndani ya ndoa utaleta maseke yeh yeh!
Unafatana na rafiki daily
Utadhani unabarehe
Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh!
Mwenzako baba Swalehe
[Outro]
Unatizama wanawake kuliko alama za barabarani
 
eti "baba swalehe unapenda mpira hadi unasahau familia yako,unatizama wanawake kuliko alama za barabaran"
Mmmmmh,mkalishe chini mkeo muongee haya sio maisha ya kukaa na mke wa vijembe vijembe,mweleze kabla haijakua tabia yake na kama amezowea huko alikotoka basi aiwache nje ya nyumba akiingia kwako akienda kwao auchukue...
 
sio taarabu kiaz wewe 😂😂😂😂 Umeimbwa na Nick wa Pili, n wimbo mzuri sana na unaujumbe mzito, usiombe kuitwa baba salehe

we ndo kiazi. yeye kasema taarabu kwa sana. nyimbo nyingine sio mfatiliaji.
 
Habari zenu wana MMU.

Baada ya mke wangu kugundua mimi ni mlevi wa mpira,yani kwa sasa nashindwa kumuelewa ana maana gani,wakati mahitaji yote.

Alhamisi niliporudi kutoka kazini,mke wangu aliniambia kuna nyimbo anaipenda inaitwa Baba swalehe,na akasema ina ujumbe sana,mimi nikaunga hoja.

ijumaa nimerudi home mida ya saa9 alasiri,nlivyofka tu,akaiweka hyo nyimbo,ikawa inajirudia had saa 12 jioni nlipoondoka.

Jumamosi niliporudi tena toka kazini baada ya salaam akaiweka nyimbo ya Baba swalehe,mpaka mda naondoka kwenda kuchek mpira.

Jana sijaenda kazini,tangu asubuhi akawa ameiweka hadi mda naondoka,niliporud baada ya salaam akaiweka tena.

Leo mida ya saa4 asubuhi mi nikiwa kazini akanitumia sms eti nimrushie nyimbo ya baba swalehe.

Kwa maelezo hayo,huyu mwanamke ana maana gani?
karibuni.

Je ni kweli huu wimbo wa Nikki wa pili na joh Makini ni Dongo kwa le mutuz?
 
Kijana na wewe tafuta ngoma za Nature "staki demu" au "inaniuma sana".. Ukiwa nae tu ndo unaziplay tena kwa repeat mode.

Atakaa tu.
"unaangalia wanawake kuliko barabara"
wakat mi cfany hvyo
 
Mkeo hafanyi kitu cha busara, lakini mueleze kutofurahishwa na wimbo huo. Na niwakati wa kuweka nyimbo nyigine!
 
Back
Top Bottom