Mke wa Rais Anapofungua Kituo cha Polisi

Wapi kanuni imekiukwa, Kwani wapi imeandikwa kuwa kuna mtu special kwenye kukata utepe, hata mkata majani wako anaweza kwenda kufungua zahanati,ilew ni sherehe tu haipo kwenye taratibu za kiutawala, Siku hizi jukwaa la siasa limetawaliwa na mijitu ambayo akili zao zimefungwa kwenye makende, yaan tunazidiwa hata na wale wa chitchat,mapenzi etc. Leteni mada zinazo reflect hadhi ya member wake kama vp c muwe wachangiaji kama mimi badala ya kuanzisha thread za ki field field!
 
Mke wa Rais unataka afanye nini acha amwakilishe mzee.Au unataka mchumba wa slaa aende

we unamtambua kikatiba au ki protocol. naomba utuambie ni kifungu gani katika katiba kinampa mke wa Rais mamlaka ya kufanya shughuri za kiserikali? Au ndo ule marmot mbwa wa bosi naye bosi
 
Wanataka kubinafshisha police wote wawe policcm ndio maana wanawatafutia pesa za kujenga vituo vya police na kuvizindua!!
 
Labda yeye ndo alifadhili.
Kuna siku mtamuona Subhash Patel anafungua ikulu baada ya major renovations ndo mtajua kuwa ****** maana yake nini. Zile za kumuambia mkeo 'fanya maarifa' akija na kuku unachekelea!
 
Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein amezindua kituo cha polisi cha Tumba mkoa wa Mjini Magharibi.Katika uzinduzi wa kituo hicho, kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa ndiye alikuwa mwenyeji wa mama Mwanamwema.

My take: Katika siku za nyuma uliwahi kuzuka mjadala kuhusu shughuli za kisisa alizokuwa anazifanya Mama Salma Kikwete na akawa anasomewa taarifa za maendeleo na wakuu wa mikoa, wilaya nk. Watu wakahoji yeye ana wadhifa gani serikalini. Sasa Hili la kituo cha polisi imekaaje wakuu?

hiyo ndo tz mwanawan,nyerere alisema 'sikuchaguliwa na wananchi ili nipafanye ikulu pango la walanguz,huwez kupewa kazi ya kuongoza nchi alaf unaishi kihunihuni....'kule kusin kuna mbunge akisafir na mke wake kwenye shugul za bunge,naye analipwa posho kama mumewe!bongo jaman!
 
Wapi kanuni imekiukwa, Kwani wapi imeandikwa kuwa kuna mtu special kwenye kukata utepe, hata mkata majani wako anaweza kwenda kufungua zahanati,ilew ni sherehe tu haipo kwenye taratibu za kiutawala, Siku hizi jukwaa la siasa limetawaliwa na mijitu ambayo akili zao zimefungwa kwenye makende, yaan tunazidiwa hata na wale wa chitchat,mapenzi etc. Leteni mada zinazo reflect hadhi ya member wake kama vp c muwe wachangiaji kama mimi badala ya kuanzisha thread za ki field field!

Jibu swali mzee acha siasa.....kama ni sawa sema sawa na vigezo vya jibu lako sio unalaumu na kuongeza maswali
 
Ajabu sana. nadhani kwenye semina na makongamano sawa lakini hata kazi za kijeshi!
 
Bila shaka mzee mzima hapa kateleza. Na kwa unafiki wa wasaidizi wa viongozi wetu wameshindwa hata kumtahadharisha
 
Mke wa Rais unataka afanye nini acha amwakilishe mzee.Au unataka mchumba wa slaa aende

Hii kali! Natamani kujua vipi alipigiwa 'salute'. Je, anaweza kutoa maagizo yoyote kwa jeshi -sasa sijui ataijwa amiri jeshi kivuli; na hayo maagizo yatatekelezwa bila kuhojiwa!
Ninaipenda Tanzania ninawapenda watanzania; lakini ktk hili watz tunahitaji kuhoji na pawepo na mipaka ya aya mambo. Kuna siku mpendwa wa kiongozi ataamrisha jeshi likamtwange jirani, sina uhakika kama maagizo hayo yatatekelezwa kwa staili ipi na lisipotekelezwa litakuwa linatuma picha gani? Tafakari!
 
Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein amezindua kituo cha polisi cha Tumba mkoa wa Mjini Magharibi.Katika uzinduzi wa kituo hicho, kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa ndiye alikuwa mwenyeji wa mama Mwanamwema.

My take: Katika siku za nyuma uliwahi kuzuka mjadala kuhusu shughuli za kisisa alizokuwa anazifanya Mama Salma Kikwete na akawa anasomewa taarifa za maendeleo na wakuu wa mikoa, wilaya nk. Watu wakahoji yeye ana wadhifa gani serikalini. Sasa Hili la kituo cha polisi imekaaje wakuu?

Ndio yale yale ya Salma Kikwete! Viongozi wetu hawajitambui!
 
Back
Top Bottom