Jimmy copper
Member
- Sep 20, 2022
- 31
- 59
Mambo yasiwe mengi, kuna cousin brother wangu anahitaji kuongeza mke wa pili.
Vigezo:
Vigezo:
- Awe mrembo wa sura na umbo pia
- Elimu kidogo angalau form six au certifcate
- Umri miaka kuanzia 25 mpaka 32
- Dini Islam kama ni tofauti awe tayari kubadili.
- Ni mfanyakazi wa Serikali na mfanyabiashara kariakoo, kwahiyo anajiweza kimaisha.
- Umri wake ni miaka 38
- Ana mke mmoja tayari,
- Anaishi Dar es Salaam.