..Mke wa mtu ameniota..

Mkuu yani wewe kuambiwa umeotwa imekuwa nongwa? Ulipaswa kujibu msg ya huyo mdada, ujue ndoto yenyewe. Yaweza ikawa aliota "Umejinyea kwenye kadamnasi kubwa", huoni ungetia aibu? Hudhani kwa ndoto yake ingekuokoa mengi? TATIZO LAKO AKILI YAKO INAWAZA NGONO. Hivi kwa nini hukujibu text ya mdada wa watu?

umekurupuka...soma post za watu vizuri!...
 
Ukaribu isiwe sababu! kuota ndo nn? mke wa mtu ni sumu,utakuja kukojoa dagaa!
 
Mambo ya kulana denda ni uchafu uliopitwa na wakati, unakula kitumbuwa na yeye anakula ndizi. Mwambie aka ote tena.


Mkuu kwa hiyo wakiume akila kitumbua na wakike akila ndizi ndo usafi wa kisasa. Umenichekesha! Jamii forums oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Ok... nimekuelewa sijakusoma vizuri.... Sorry. Naomba nikuulize swali.... Leo hii unarudi kwako unakutana na mumewe anakuambia kapata safari, na unahakikisha kabisa kua mumewe kaondoka. Unarudi kwako ile uingie ndani HAMADI! Yupo kwko naked sebuleni kwako anaangalia movie with a drink in her hands... anakuna tu anakuambia "I am sorry nimekuja bila taarifa, nimeboreka peke yangu nyumbani nimeona jioni hii nii spend hapa kwako" Utafanya nini??



  1. Utaingia kusanya nguo zake na kumwambia avae na kuondoka tena kwa Ukali!
  2. Utaonesha kutojali uwepo wake (huku roho yako na biologia yako vikishangilia) kua hatimae siku imefika...
  3. Utaondoka hapo kwako ili umpigie simu kua ukute kaondoka
  4. Ama tu mara moja utavua nguo na wewe ili muweze banjuka...


Naomba nijibu kwa ukweli, tupo jamvini hapa hakuna haja ya pretense....

Duh, Maswali gani haya AD? Ila hapo Most of sie mijanaume ya siku hiz (Mi sipo hapo) hiyo namba Fo ndo ipo reachable zaidi.., mawazo yangu tu hayo.,
 
mke wa mtu sumu

Ni kweli kaka mke wa mtu ni sumu !!
Kama wewe umeoa hebu jaribu kufikiri tu , unabaini mkeo anakatwa na mshikaji utafeel aje ??
Mi nashauri cheza mbali na huyo mwanamke !!
Juzi kati apo kuna jamaa kaliwa **** live na picha watu wanazo hii yote alijifanya anaonyesha kiwango kwa mke wa mtu.
 
kwani una nyumba jirani yake? kama umepanga hama, badili na namba ya simu.. no more contact, iepuke dhambi ikiwa mlangoni
 
unajua hapa tujiheshimu,ifike mahali post kama hizi mzipeleke kwenye mitandao ya washenzi huko,umekosea pa kuipeleka
 
Ushauri wangu kwako ni stricktly leave her,if you want your safety and date her if you want to be sodomized,he will find you at all cost once he find out dat u date his wife mke anauma ucpime jiheshimu starehe ya dakik 5 isikuharibie ingawaje unaonekana ulihitaji go ahead tu ha" pima mwenyewe ndg ha!
 
Kawaida ukiambiwa kuhusu kitu fulani ni 'ndoto' maana yake ni kuwa kitu hicho hakitatokea, alivyokuota ndio haitatokea kwa hiyo mpotezee, ogopa sana mke wa mtu, simuliwa tu usiombe yakukute.
 
dizaini nmeona hakuna uwalisia...
ila kuwa makini vya watu sumu ndugu
 
Back
Top Bottom