..Mke wa mtu ameniota..

Ni kweli kabisa mjibu message yake kuwa ndoto maana yake ni vitu vya kufikirika ambavyo si halisia!mjibu uonyeshe kama hupendi sana anakotaka kupelekea hisia zake!
 
Tuko ndani ya jamii ili tuhusiane(tuongee,tuchat,tukwazane,tufurahishane,tuotane,tupendane,tutongozane n.k)

Umri si kigezo katika mapenzi(cancel this)

Si vibaya kuchat na mke wa mtu isipokuwa zingatia kutokuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yao.

Nakushauri:mjibu meseji,endelea kuwa na msimamo chanya kwake,usijishtukie kuwa anakutaka (ukifanya hivyo itadhiirisha kuwa wewe ndiye umtakae,na wataka kukwepa lawama ya baadaye)usimpe nafasi akakurubuni kwenye ngono.

NB:Umshukuru sana kwa kuweza kushare nawe ndoto tamu kama hiyo,ni wachache wenye ujasiri huo.
 
Ni mzuri sana, ana baby face, haoneshi kama ana mume kwa wale wasiomjua. Ninamheshimu naye ananiheshimu na pia namheshimu mume wake kama shemej yangu coz tunafahamiana kwa karibu! Bibie huyu anapenda sana kampan ya "kiumeni" ndio maana nimejikuta nipo nae karibu.
...
"Shikamoo dada" ndiyo salam yangu kwake coz amenipita umri about 13 years.
...
Juzi kati nikapokea sms kutoka kwake inasomeka hivi:
"Nimekuota tunakula denda"..
Niliipotezea ile sms, sikumjibu.
...
Leo asubuhi tumeonana nikamsalimia akajibu kavukavu, kama mtu ambaye yupo "off mood". And it is true aliponiona alibadilika tofauti na nilivyomzoea.
...
Muda si mrefu amenitext "KWA NINI SIKUJIBU SMS YAKE?"..
...
Kiukweli nakosa majibu ya kumpa, sitaki nikose kampani yake. Naombeni mwongozo wanaJF, nimjibu vipi coz nimeishiwa vocabulary za kumjibu!
...
MCHANA MWEMA
...
SI unit
hapo kwenye red ndio upuuzi wako, kwanini utamani kampani ya mshenzi kama na wewe sio mshenzi???
 
Back
Top Bottom